AZIZ KI AFUNGUKA “UCHAWI” ULIOMFANYA ARUDI ‘MJINI’ NA YANGA MSIMU HUU…
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki kwa msimu huu ameanza na moto, kiasi cha kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo, lakini…
Browse all posts in this category.
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki kwa msimu huu ameanza na moto, kiasi cha kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo, lakini…
Wakati Yanga ikifuzu kwa jeuri hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitupa nje ASAS ya Djibouti kocha wao wa zamani…
BAADA ya kufanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amesema sasa muda wa kufanya…
Mchambuzi maarufu wa soka nchini kupitia channel ya runinga ya TV3, Alex Ngereza amesema kuwa licha ya kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo…
MWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga inashuka dimbani kesho kusaka ushindi wa pili kwenye mchezo wa marudiano…
Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amewataka mashabiki wote watakaofika uwanjani kesho kutwa kuitazama timu yao itakapokuwa ikicheza na ASAS wafike wakiwa…
VIUNGO watatu wa Yanga, Khalid Aucho, Mudathir Yahya pamoja na Stephane Aziz Ki, wametengeneza pacha moja matata sana ambayo imekuwa ikiwapatia ushindi…
KUNA hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na…
Beki wa kati mpya wa Young Africans, Gift Fred amesema kuwa licha ya kusugua Benchi bado anaamini akipata nafasi ya kucheza atajituma…
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Young Africans kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa…
BEKI wa Yanga, Dickson Job amesema nidhamu kwa wapinzania wao AS Al Sabieh (Asas FC) , kimepelekea kupata ushindi wa mabao 2-0…
Inaelezwa kuwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison huenda akaishtaki Young Africans kwenye Shirikisho la Soka Duniani ‘FIFA’. Taarifa kutoka kwa…