WAKATI SIMBA WAKIHAHA NA MBADALA WA MANULA….GAMONDI NA YANGA YAKE NI KICHEKO TU…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi anatajwa kuwa kwenye furaha kuwaona Walinda Lango watatu wakiwa kwenye…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi anatajwa kuwa kwenye furaha kuwaona Walinda Lango watatu wakiwa kwenye…
Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Afrika Kusini kucheza ligi kuu ya Tanzania Bara Kwa lugha nyingine Yanga…
Wakati tetesi za usajili zikiendelea kushika kasi nchini muda huo huo thank you nazo zikiendelea kutolewa kwa baadhi ya wachezaji na benchi…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Saleh Ally ‘Jembe’ amesema kuwa Yanga walitakiwa kutoka na kwenda kuweka kambi nje ya Tanzania badala…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Wasafi FM, Hans Raphael Mwambeki amesema pesa aliyouzwa mshambuliwa wa Yanga, Fiston Mayele ni kubwa…
Klabu ya Yanga SC imekamilisha Usajili wa Kiungo Mshambuliaji fundi wa Kimataifa wa Ivory Coast na Klabu ya ASEC Mimosas, Zouzoua Pacome…
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umeweka wazi kuwa kazi ipo msimu mpya wa 2023/24 kutokana na mipango makini inayosukwa…
Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans ikihusishwa kuwa mbioni kuinasa saini ya Makabi Lilepo awe mbadala wa Fiston Mayele, makocha…
UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya…
Anaitwa Moussa N’Daw ni mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Wydad Casablanca, timu ya taifa ya Senegal na kocha msaidizi Wydad Casablanca…
Kiungo wa klabu ya Yanga SC, Jonas Mkudde ametoa kauli yake ya kwanza mara baada ya kujiunga na miamba ya soka nchini…
Juzi mchana wakati unapiga ugali wako, Yanga walikuwa wanakamilisha tukio muhimu kwao. Walikuwa wanakamilisha usajili wa beki wa kulia wa ASEC Memosas,…