VYUMA VIPYA KUANZA KUSHUKA YANGA WIKI IJAYO….UTARATIBU WOTE HUU HAPA…
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kujiandaa kupokea taarifa za usajili wa kushtua…
Browse all posts in this category.
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kujiandaa kupokea taarifa za usajili wa kushtua…
KLABU ya Yanga SC, imeingia mkataba wa miaka miwili na benki ya NMB kwa ajili ya ushirikiano katika maeneo manne ambayo ni…
KOCHA Mpya wa Yanga Miguel Gamondi anahesabu siku kabla ya kutua nchini kuanza kasi rasmi lakini mabosi wake wakamuachia nafasi tatu za…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umeweka wazi mpango wa kufanya usajili kabambe ili kuhakikisha msimu ujao klabu hiyo…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wamejipanga kuibomoza Klabu ya Asec Mimosas, ikihusishwa na usajili wa wachezaji watatu kutoka katika timu…
Beki wa pembeni kutoka DR Congo Joyce Lomalisa Mutambala amekubali kubaki kuendelea kukipiga katika klabu hiyo hadi msimu ujao 2024/25. Hiyo ikiwa…
SIKU chache baada ya kiungo Jonas Mkude kubainika anakaribia kumalizana na matajiri wa Yanga kwa mkataba wa mwaka mmoja dau atakalopewa staa…
Kocha Mkuu mpya wa Young Africans, Miguel Gamondi anatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kusaini mkataba…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unakuja mtikisiko kwenye suala la usajili kutokana na mipango makini waliyonayo. Chini ya Kocha Mkuu Nasreddine…
Kabla mabosi wa Young Africans hawajakutana juma hili na wachezaji wa timu hiyo, Djuma Shaban na Yannick Bangala, Wakongomani hao walikinukisha wakishinikiza…
Imefahamika kuwa Beki wa Pembeni wa Singida Fountain Gate FC, Nickson Kibabage amepewa mkataba wa miaka miwilina Uongozi wa Mabingwa wa Soka…
Unaambiwa baada ya uongozi wa Yanga kumpa taarifa kocha mkuu mpya wa timu hiyo raia wa Argentina, Miguel Angel Gamondi, ambayo ilitakuwa…