TAKWIMU ZINAONGEA….YANGA WAMEINGIZA PESA NYINGI KULIKO KLABU ZOTE ZA KENYA KWA UJUMLA WAKE…
Mtandao maarufa wa michezo Pulse Soorts umeandika kuwa, klabu ya Yanga imeingiza pesa nyingi msimu wa 2022/23 kuliko klabu zote za kenya…
Browse all posts in this category.
Mtandao maarufa wa michezo Pulse Soorts umeandika kuwa, klabu ya Yanga imeingiza pesa nyingi msimu wa 2022/23 kuliko klabu zote za kenya…
Mashabiki wa Yanga walishamsahau kiungo wao Feisal Salum ‘Fei Toto’ na sasa wajiandae kumuona mbadala wake mpya katika timu hiyo, Yusuf Kagoma…
Mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina amekabidhiwa rasmi ripoti ya maboresho ya…
MUDA wowote kuanzia sasa zinaweza kusikia habari za kushtua. Jonas Mkude yuko kwenye mazungumzo na Yanga na atasaini mkataba wa kazi. Mkude…
Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca alikuwa na msimu mzuri ndani ya Yanga, baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi kumtengeneza…
Beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’, aliyepewa ‘Thank You’ na klabu ya Yanga baada ya kuwa nao kwa muda mrefu tangu 2017-2019 kisha kuondoka…
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema hauna shida na mchezaji yoyote yule ambaye anahitaji kuondoka ndani ya timu hiyo lakini bado ana…
Wakati Taarifa zikisamba na kuonesha kuwa Klabu ya Yanga imepata faida ya Tsh Milioni 300 kutokana na mauzo ya jezi zikionekana kuwashangaza…
Rais wa Yanga ndugu Hersi wakati anatoa hutuba yake aliweza kusema Yanga imeweza kutengeneza Kiasi cha 7,068,127,083 Kwa mwaka huu wa 2022-2023…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia runinga ya TV3, Boiboi Mkali, amesema yanga inaweza isiwe bora msimu huu kama ilivyokuwa msimu…
Wakati Rais wa Heshima Simba Mo Dewji aliwekeza kwa kununua hisa za Bilioni 20 za timu hiyo, watani zao Klabu ya Yanga…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umekanusha taarifa zinazomuhusu Beki wa Kushoto kutoka DR Congo Joyce Lomalisa Mutambala kuwa…