BAADA YA KUONA JINSI MORRISON ANAVYOCHEZA NA TABIA ZAKE…NABI KATIKISA KICHWA ..KISHA AKAFUNGUKA HAYA….
KOCHA wa Yanga, Nassredine Nabi amemwangalia Bernard Morrison ‘BM33’ na kusema huyu wa sasa ndiye anayemjua kutokana na kurejea kwenye kiwango chake…