WIKI KADHAA TOKA AANZE KUKIWASHA NA YANGA….HIVI NDIVYO NABI ALIVYOICHAMBUA KAZI YA MORRISON KITAALAMU….
KOCHA wa Yanga, Nassredine Nabi amemwangalia Bernard Morrison ‘BM33’ na kusema huyu wa sasa ndiye anayemjua kutokana na kurejea kwenye kiwango chake…