HUYU HAPA KIBOKO YA YANGA…INJINI YA MAGOLI AZAM FC…TISHIO KUBWA LIGI KUU
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga…
Browse all posts in this category.
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga…
Imeelezwa kuwa mshambuliaji wa Kagera Sugar, Anuary Jabir ‘Falcao’ ameongezewa muda zaidi wa majaribio kwenye klabu ya KAA Gent inayoshiriki Ligi Kuu…
Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa Sh2 milioni kwa timu ya Mbeya City ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza faini ya shilingi milioni 1 Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting FC, Renatus Shija kwa kosa…
Kikosi cha Singida Big Stars kinarudi mazoezini leo Alhamisi kwa ajili ya kujiandaa na michezo mbalimbali lakini ndani ya siku 10 zijazo…
MSHAMBULIAJI wa Polisi Tanzania, Ambrose Awio ameweka wazi kikosi hicho kinahitaji miujiza kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao baada ya kupoteza…
Ruvu Shooting imekubali kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya Mbeya Ciy katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye uwanja wa Sokoine jijini…
Kikosi cha Polisi Tanzania kimeendelea kujinoa kuhakikisha kinajinasua mkiani mwa Ligi Kuu, huku mastaa wa timu hiyo wakiwekewa mamilioni mezani ili wapambane…
Timu ya JKT Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya Championship baada ya kuichapa Transit Camp bao 1-0 jana Uwanja wa…
Kitendo cha klabu za Simba na Yanga kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa kimeelezwa kuwa kinaongeza umaarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…
KOCHA Mkuu wa Azam, Dani Cadena amesema kikosi hicho hakitakuwa na mapumziko katika kipindi hichi cha michezo ya kimataifa isipokuwa ni kwa…
LIGI Kuu Bara kwa imesimama kupisha mechi za kimataifa za timu ya taifa, Taifa Stars dhidi ya Uganda The Cranes sambamba na…