HUYU HAPA KINARA WA KADI…MECHI 17 KADI 11…UKIKUTANA NAYE PISHA NJIA
Kiungo wa Simba Saido Kanoute ndiye kinara wa kupata kadi za njano na amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu ndani ya Simba…
Browse all posts in this category.
Kiungo wa Simba Saido Kanoute ndiye kinara wa kupata kadi za njano na amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu ndani ya Simba…
BAADA ya Geita Gold kuambulia kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Yanga ,Mkurugenzi wa Geita Gold Zahar Michuzi amefunguka na kusema kuwa…
Klabu ya Kagera Sugar inayoshika nafasi ya saba kwenye msimamo wa LigiKuu imetoa wachezaji wanne kwenye timu ya taifa ya Tanzania kujiandaa…
Huko Championship Maafande wa JKT Tanzania wanazidi kufanya yao kuhakikisha msimu ujao wanacheza Ligi Kuu baada ya kuendeleza vichapo kwenye ligi hiyo.…
Uongozi wa KMC FC umesema utahakikisha michezo mitano iliyobaki katika Ligi Kuu Bara msimu huu 2022/23, timu yao inacheza kama fainali ili…
Pointi 8 ambazo wamewaacha watani zao wa jadi Simba, zimeipa kiburi Yanga ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za Ligi Kuu Bara…
Baada ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons mwishoni mwa juma lililopita, Kocha Mkuu wa Namungo FC Denis Kitambi,…
Mtibwa Sugar wamesitisha matumizi ya jezi Namba 4 kwa misimu minne ili kumuenzi Beki wao Iddy Mobby Mfaume ambaye alikuwa anatumia namba…
Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, amesema kuwa timu yao bado ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu…
Baaada ya kuambulia kipigo cha mabao 1-2 nyumbani kutoka kwa Ruvu Shooting, mashabiki wa Mbeya City wamemjia juu kocha wao, Mubiru Abdallah.…
ULIOKUWA uongozi wa mpito wa Biashara United umekanusha taarifa za timu hiyo kuuzwa huku ukiweka wazi kilichofanyika ni kuwakabidhi wadau kuiendesha baada…
Ushindi wa 2-3 dhidi ya Namungo FC umempa jeuri Kocha Mkuu wa Maafande wa Jeshi la Magereza ‘Tanzania Prisons’ Mohamed Abdallah ‘Bares’,…