USIKU WA ULAYA HUU HAPA NA MAKOTO YAKE ….ZINGATIA ODDS HIZI KWA USHINDI WA KIBABE..
Wazungu hutumia msemo wa “The Wait is Over” wakimaanisha kuwa hatimaye liliokuwa likisubiriwa limewadia, na sisi kama uwanja wa michezo tunaelewa kuwa…
Browse all posts in this category.
Wazungu hutumia msemo wa “The Wait is Over” wakimaanisha kuwa hatimaye liliokuwa likisubiriwa limewadia, na sisi kama uwanja wa michezo tunaelewa kuwa…
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya…
Wikiendi iliyopitwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Simba na Yanga walikuwa ugenini wakisaka nafasi ya kucheza hatua…
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema siku zote Uongozi wa klabu hiyo umekuwa ukitamani kutengeneza timu…
Baada ya kukamilisha dakika 90 za Mkondo wa Kwanza wa Mchezo wa Kuwania kufuzu hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika…
Mchezaji Mtanzania, Novatus Dismas leo Jumanne (Septemba 19), anaweza kuingia katika rekodi ya kuwa Mtanzania wa pili kucheza Ligi ya Mabingwa Barani…
Baada ya kurejea nchini wakitokea Rwanda, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi amewataka wachezaji wake kutobweteka na ushindi walioupata dhidi…
Kocha wa Singida Ernst Middendorp ameripotiwa kung’atuka klabuni hapo ikiwa ni chini ya mwezi tu tangu ashike hatamu ya kukinoa kikosi hicho…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeahidi kuandaa mikakati madhubuti kuhakikisha timu yao inaifunga Power Dynamos katika mhezo wa marudiano na kutinga…
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Aubin Kramo amerejea nyumbani kwao lvory Coast kwa ajili ya kujiuguza jeraha lake la goti ambalo limekuwa…
Uongozi wa Simba SC umeanza mazungumzo na winga wa Power Dynamos ya Zambia, Joshua Mutale kwa ajili ya kumsajili katika dirisha dogo…
Daktari wa Simba, Edwin Kagabo ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya mlinda lango Aishi Manula anayetarajiwa kufanyiwa vipimo vya mwisho na pengine akaruhusiwa…