WAKATI ZIKIWA BADO SIKU MBILI KUKUTANA NA YANGA…AHMED ALLY NA YEYE KAIBUKA NA HILI JIPYA ETI…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally amesema anaamini Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo…
Browse all posts in this category.
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally amesema anaamini Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo…
WAKATI Simba ikiingia kambini jana kwa maandalizi ya mechi na watani zao, Yanga nao wameingia kambini ingawa wao juzi walianza na mazoezi…
FISTON Mayele alitoa ahadi mbili ambazo moja ilikuwa ni kuifunga Namungo FC ambayo ameikamilisha na ya pili ni ya kupachika bao katika…
LICHA ya kwamba mkataba wake unaelekea ukingoni huku akihusishwa na kurejea Azam, kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula juzi usiku alitamka…
SIKU chache baada ya Gazeti la Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby, huku…
Bodi ya Wakurugenzi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC imekubaliana kutomfuta kazi kocha anayekinoa kikosi cha klabu hiyo kwa sasa,…
Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Jemedari Said amemaliza utata uliojitekeza baada ya kuibuka tetesi kuwa amemkimbia Haji Manara katika Studio za Kituo…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal na klabu ya Simba SC Pape Ousmane Sakho amesema yupo tayari kwa mchezo wa Jumamosi (April 30),…
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Young Africans Hassan Bumbuli amesema hata kama ikitokea kikosi chao kitapopteza mchezo wa Ligi…
Mchambuzi wa Soka Jemedari Said Kazumari amemvaa Msemaji wa Yanga HAJI MANARA Baada ya kuvaa jezi ya Orlando Pirates Kwenye interview yake…
Licha ya kulalamikia halikua bao halali kwa kigezo cha Mfungaji alikua ameotea kabla ya kuukwamishwa mpira wavuni, Shirikisho la Soka Barani Afrika…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, Franco Pablo Martin amesema hana budi kusahau yaliyotokea Afrika Kusini, ili kuangalia…