BAADA YA KUIZIBUA REAL MADRID 4-0..BARCA WATAKA KUFANYA KISICHOWEZEKANA MSIMU HUU…
Chukua karatasi na kalamu tuanze kuhesbu kwa pamoja. Kwenye hesabu, hakuna kisichowezekana wanasema. Na Barcelona inataka kufanya kisichowezekana, kuwezekana kwenye La Liga…