BAADA YA KOCHA MPYA WA YANGA KUTUA MASTAA HAWA KUPIGWA CHINI
KOCHA Mkuu wa Yanga ametua juzi usiku kutoka Brazili, lakini kitu ambacho mashabiki wa klabu hiyo wanapaswa kukaa wakikujua mpema ni kwamba…
Browse all posts in this category.
KOCHA Mkuu wa Yanga ametua juzi usiku kutoka Brazili, lakini kitu ambacho mashabiki wa klabu hiyo wanapaswa kukaa wakikujua mpema ni kwamba…
Mwanachama wa Yanga akifungua akaunti atalipia Shilingi 34,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Yanga (Shilingi 5,000 ni malipo ya kadi, 5,000…
Kikosi cha Azam FC kinajifua jijini Dar es Salaam huku kikisubiri kusepa kwenda kuweka kambi Tunisia, lakini nyota mpya wa timu hiyo,…
SIMBA iliendelea kushuka majembe mapya baada ya kutambulisha yule winga aliyeripotiwa mapema juzi na soka la bongo kwamba ameshasaini mkataba wa miaka…
Ushawishi wa pesa umeendelea kuwa kivutio kikubwa sana kwa klab hiyo yenye maskani yake Mkoani Singida, Beno kakolanya alikuwa tayari kuongeza Mkataba…
Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, Wakili Simon Patrick amechaguliwa na Baraza Kuu la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa kwenye…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Hatua hiyo inajiri baada ya Geita kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fredy Felix ‘Minziro’ baada ya mkataba wake kuisha tangu…
Imeelezwa kuwa Kiungo Mkabaji kutoka nchini Ivory Coast Zougrana Mohamed anayehusishwa na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, tayari ametua nchini…
Beki kutoka nchini Cameroon anayehusishwa kutua kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Che Fondoh Malone Jr amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu…
WAKATI mashabiki wa Kaizer Chiefs ya Sauzi wakiujia juu uongozi wa klabu hiyo kwa kumteua kocha mzawa,Molefi Ntseki, aliyekuwa kocha wa Yanga…
Wakati kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ akifurahia ujio wa mshambuliaji Leandre Onana kutoka Rayon Sports, nyota huyo anakutana na wakati mgumu…