ILI KUJIWEKEA UHAKIKA WA JAMBO…KOCHA MPYA YANGA APANGUA KILA KITU CHA NABI…
Unaambiwa baada ya uongozi wa Yanga kumpa taarifa kocha mkuu mpya wa timu hiyo raia wa Argentina, Miguel Angel Gamondi, ambayo ilitakuwa…
Browse all posts in this category.
Unaambiwa baada ya uongozi wa Yanga kumpa taarifa kocha mkuu mpya wa timu hiyo raia wa Argentina, Miguel Angel Gamondi, ambayo ilitakuwa…
Kuna swali ambalo watu wengi huwa wanauliza, unafanyaje kushinda Jackpoti hususani kutoka nyumba ya mabingwa kampuni namba moja ya michezo ya ubashiri,…
Uongozi wa Simba SC umefunguka kwa kina ishu la Kiungo Mkabaji kutoka Burkina Faso Ismael Sawadogo, ambaye anadaiwa kuugomea Uongozi wa Klabu…
Mtandao maarufa wa michezo Pulse Soorts umeandika kuwa, klabu ya Yanga imeingiza pesa nyingi msimu wa 2022/23 kuliko klabu zote za kenya…
Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini imemteua Molefi Ntseki kuwa kocha Mkuu wa klabu hiyo. Kaizer Chiefs ilikuwa ikihusishwa kumtaka…
Mashabiki wa Yanga walishamsahau kiungo wao Feisal Salum ‘Fei Toto’ na sasa wajiandae kumuona mbadala wake mpya katika timu hiyo, Yusuf Kagoma…
Mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina amekabidhiwa rasmi ripoti ya maboresho ya…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis, ataendelea kuichezea timu hiyo, mara baada ya kufikia muafaka wa kuongeza mkataba wa miaka miwili. Kibu…
Mlinda Lango aliyeondoka Simba SC Beno Kakolanya amesema, kuna faida kubwa katika timu hiyo kuwa na Mhambuliaji kutoka Zambia Moses Phiri, kutokana…
MUDA wowote kuanzia sasa zinaweza kusikia habari za kushtua. Jonas Mkude yuko kwenye mazungumzo na Yanga na atasaini mkataba wa kazi. Mkude…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema katika kumuenzi legendari Jonas Mkude, jezi namba ishirini aliyokuwa akiivaa haitatumika…
Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca alikuwa na msimu mzuri ndani ya Yanga, baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi kumtengeneza…