YANGA NA SIMBA… ZIMETUHAKIKISHIA KUPELEKA TIMU 4 KIMATAIFA MSIMU UJAO
Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Haji amesema kitendo cha kuingiza timu mbili kwenye robo fainali ya michuano ya Ligi…
Browse all posts in this category.
Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Haji amesema kitendo cha kuingiza timu mbili kwenye robo fainali ya michuano ya Ligi…
Kitendo cha klabu za Simba na Yanga kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa kimeelezwa kuwa kinaongeza umaarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…
Goli la Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama alilofunga dhidi ya Horoya kwa kupitia mpira wa kutenga limeteuliwa kuwa bora kati ya…
MAKAMU wa Rais wa Yanga, Arafat Haji amesema kukua kwa nguvu za kiuchumi kwa klabu za Simba na Yanga imekuwa chachu kwa…
Mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (Serengeti Lite Women’s Premier League #SLWPL) kati ya Yanga Princes na Simba Queens umemalizika katika…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa likiwa ndio mamlaka inayosimamia na kutoa vibali vya michezo ya soka nchini halijatoa kibali kwa…
Baada ya kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika mastaa wa Simba wamekula kiapo kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi hatua inayofuata…
Kitendo cha mabeki tegemeo wa Simba, Shomari Kapombe na Mohamed Hussein Tshabalala’ kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa…
Klabu ya Azam FC imesitisha safari yake ya Kenya kwenda kucheza na Gor Mahia Jumapili hii, kutokana na sababu za kiusalama. Azam…
Kama ulikuwa hujui basi nikujuze kuwa suala la kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ na klabu yake ya Yanga halijakwisha na litaisha pale…
Kuna michezo mingi sana ya Kasino lakini sloti hii ya Book of Eskimo ni Zaidi ya mchezo ni uhalisia wa Maisha, Kasino…
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni timu hiyo kupanda nafasi za ubora kwa timu za Afrika mara baada ya kutinga robo…