ALI KAMWE:- LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE…TUNGULI RUKSA…DUA RUKSA…
Ali kamwe :”tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa. Tutawaambia…
Browse all posts in this category.
Ali kamwe :”tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa. Tutawaambia…
Kapombe na Zimbwe JR watemwa, Yanga imetoa wachezaji 7 dhidi ya 3 kutoka Simba Mtazamo: kwanini kapombe na zimbwe hawajaitwa? 1:…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia…
“Nilipostaafu soka nilifanya kazi tofauti, nimekuwa kondakta wa daladala, kisha nikafanya mambo ya mtaani na sasa nauza mishikaki na kacholi,” ndivyo anaanza…
Klabu ya Zamalek ya Misri imetoa taarifa rasmi ya kupeleka malalamiko CAF kuhusu klabu ya Esperance ya Tunisia kumtumia mchezaji Houssem Dagdoug…
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda Katika…
Ushindi wa 2-3 dhidi ya Namungo FC umempa jeuri Kocha Mkuu wa Maafande wa Jeshi la Magereza ‘Tanzania Prisons’ Mohamed Abdallah ‘Bares’,…
Hiki ndicho kikosi cha Tanzania (Taifa Stars) chini ya Kocha mpya, Adel Amrouche kitakacho jiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2023…
Simba juzi jioni ilikuwa Uwanja wa Manungu, Turiani Morogoro kumalizana na Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara kisha kuanza kujipanga…
Roberto Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kila mchezo atafanya mabadiliko kulingana na mbinu za wapinzani wake anaokutana nao. Timu…
Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawatarudia makosa kwenye mechi yao dhidi ya US Monastir kwa wachezaji wa timu hiyo…
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF ambapo zimeionyesha Simba ya Tanzania kuwa ni ya 9 kwa ubora…