KIMEUMANA CHELSEA….TUCHEL NAYE ‘KALIWA KICHWA’ MCHANA HUU…
Hatimaye Uongozi wa Klabu ya Chelsea ya England umefikia makubaliano ya kuachana na Meneja wa kikosi chao Thomas Tuchel baada ya kuwa…
Browse all posts in this category.
Hatimaye Uongozi wa Klabu ya Chelsea ya England umefikia makubaliano ya kuachana na Meneja wa kikosi chao Thomas Tuchel baada ya kuwa…
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la Tusisila Kisinda winga…
Mwandishi wa habari za Michezo Mwandamizi nchini Tanzania Abdul Mkeyenge ameamka na kumlaumu waziwazi Mwamuzi Ahmed Arajiga aliyechezesha mchezo wa Ligi Kuu…
Siku moja baada ya kuondoka Simba SC, Aliyekua Kocha Mkuu wa klabu hiyo Zoran Maki ametoa neno la shukurani kwa Viongozi, Wachezaji…
Mshambuliaji Crispin Ngushi hatoichezea Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya klabu hiyo kutosajili jina lake litumike katika mashindano…
Aliyekua Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ wakati wa Utawala wa…
Waziri wa Utumaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb), amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kukutana…
Beki kisiki wa Simba SC, Joash Onyango kesho hatakuwa sehemu ya kikos pindi Wekundu hao watakapovaana na KMC kesho Septemba 7, 2022.…
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema, baada ya kuachana na aliyekuwa kocha Mkuu Zoran Maki, mchakato wa kumpata mrithi wake umeanza…
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema straika Mzungu, Dejan ataendelea kuwepo klabuni hapo kwani hahusiani moja kwa moja na kocha Zoran…
MABINGWA watetezi Yanga wametoka nyuma na kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Matajiri wa Chamazi Complex Azam FC mchezo wa…
Nyota wa Geita, Mrundi Saido Ntibazonkiza ambaye amesaini mkataba na timu hiyo akitokea Yanga jina lake halijaonekana kwenye wachezaji wa timu hiyo…