SAA CHACHE KABLA YA NGAO YA JAMII LEO…RAGE AGEUKIA UCHAMBUZI WA SOKA….AANIKA YA SIMBA NA YANGA….
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amezichambua timu kongwe zinazovaana leo kwa kusema Simba ipo vizuri kwa upande…
Browse all posts in this category.
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amezichambua timu kongwe zinazovaana leo kwa kusema Simba ipo vizuri kwa upande…
Aliyekuwa Muhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Sunday Manara, jana Ijumaa, Agosti 12, 2022 ameonekana City Lounge Hotel ambako inasemekana Klabu ya…
Siku moja baada ya Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Wakili Simon Patrick kukiri kuwa wameachana na aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari…
Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi yao ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, huku kocha Nasreddine Nabi akisema…
Kocha Mkuu wa Ihefu, Zuberi Katwila ameangalia uwezo wa nyota wake akiwamo kiungo, Papy Tshishimbi na kutamka wazi kuwa vijana wake wameiva…
Mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele aliyefunga mabao 16 kwenye ligi anatarajiwa kukwaa vigingi vitatu Agosti 13, kwenye mchezo dhidi…
Mwamuzi mwenye Beji ya FIFA, Elly Sasii anatarajia kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewaonya Mashabiki wa Soka watakaokwenda Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Mchezo…
Mchezaji wa zamani wa Simba SC Mtemi Ramadhan ameonyesha kuwahofiwa Wachezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Stephen Aziz Ki kuelekea mchezo wa…
Kiungo wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Salum Abubakar ‘Sure Boy’ amewaita Mashabiki na Wanachama wa Young Africans Uwanja wa…
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Hassan Bumbuli ametangaza rasmi kumalizana na timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani. Kupitia ujumbe…
Mabosi wa Simba bado wanakumbuka walichokumbana nacho msimu uliopita kwenye mechi ya Ngao ya Jamii na hata katika Ligi Kuu Bara na…