SERIKALI YAPANIA MAKUBWA 2026/27 KWENYE MICHEZO
SERIKALI imeweka mkakati wa kuibadilisha taswira ya michezo nchini ikilenga kuipandisha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kutoka nafasi ya 112…
Browse all posts in this category.
SERIKALI imeweka mkakati wa kuibadilisha taswira ya michezo nchini ikilenga kuipandisha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kutoka nafasi ya 112…
IKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa Tamasha la Touch Rugby Tournament, waandaaji wa mashindano hayo, Dar Leopards RFC wamewaomba mashabiki…
Mechi ya mwisho ya maandalizi ya Kombe la Dunia ya DR Congo dhidi ya Chile itachezwa bila mashabiki kutokana na wasiwasi kuhusu…
LONDON, ENGLAND: KOCHA Andoni Iraola amesema anaelewa “kile kinachotarajiwa” kwake, lakini yuko tayari kukabiliana na changamoto mpya baada ya Liverpool FC kuthibitisha…
LONDON ENGLAND: Kocha Arne Slot ameibuka kama mmoja wa wagombea wanaotajwa kuchukua nafasi ya kuinoa AC Milan baada ya kuondoka katika klabu…
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis, amesema ushindani wa msimu huu umekuwa mgumu zaidi ikilinganishwa na misimu iliyopita. Khamis amesema msimu…
Dar City imetupwa nje katika robo fainali ya Kikapu Afrika (BAL) Play off, baada ya kufungwa jumla ya pointi 165-157 na Petro…
MAENDELEO ya Mpira wa Kikapu Pemba yamekuwa yakiongezeka taratibu miaka ya hivi karibuni ingawaje bado yapo maeneo ambayo yanahitaji kuboreshwa kufikia viwango…
OHIO, MAREKANI: NI kina nani waliokuwa wachezaji wenye umri mdogo zaidi kuwahi kucheza katika historia ya Kombe la Dunia? Hapa tunaangazia wachezaji…
NYASI za Uwanja wa KMC Complex leo zinatarajiwa kuwa na moto wa aina yake, ambapo Yanga SC watawaalika Namungo FC katika mchezo…
HAPA nchini, mvutano wa kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara umeanza kushika kasi kwa Simba na Yanga, lakini pia bado…
NUSU fainali ya kwanza ya Kombe la FA Ukanda wa Unguja, inatarajia kupingwa Mei 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa Gombani kati…