AZAM FC: TUNAKAZI YA KUFANYA LEO KIMATAIFA
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Horseed FC…
Browse all posts in this category.
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Horseed FC…
KIKOSI cha Simba kimewasili Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Septemba 18 kikitokea Arusha ambapo kilikuwa huko kwa kambi ya pili.…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo kinakwea pipa kueleka Nigeria kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
JESHI la Yanga linatarajiwa kupaa usiku wa leo kwenda Nigeria, huku kocha wao wa zamani, Mwinyi Zahera akimaliza mechi ya marudiano mjini…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba mchezo wao wa marudio dhidi ya Rivers United hautakuwa mwepesi ila wamejipanga kuweza kufanya vizuri. Yanga…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Horseed…
ZAMU ya Simba sasa baada ya Wananchi kukamilisha jambo lao. Kuelekea kwenye Simba Day inayotarajiwa kufanyika Septemba 19 wao wanasema kuwa One…
Imeripotiwa kuwa Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, Didier Gomes amelazimika kubadili mfumo wake katika kikosi chake ili…
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi yake makao makuu ya Tanzania, Dodoma baada ya kumaliza kambi…
KLABU ya Yanga leo Septemba 17 imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii, ya kuvaa jezi zenye nembo ya VISIT KILIMANJAO…
UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na…