PABLO ALIAMSHA HUKO…AKATAA KUPOKEA BARUA YA KUVUNJA MKATABA…ADAI HAKUPANGA KUONDOKA SIMBA MAPEMA…
VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo…
Browse all posts in this category.
VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo…
Baada ya Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Saidi Ntibazonkiza kumaliza Mkataba wake wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga jana Mei…
INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa…
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba SC Kassim Dewji amefichua ukweli wa mambo ndani ya klabu hiyo, baada ya kushindwa kutetea mataji…
Masaa machache tangu kutimuliwa Kwa Kocha wa Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club Pablo Franco Martin. Aliyekuwa Afisa Habari wa…
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda’ amehoji maamuzi ya Uongozi wa klabu hiyo kumfuta kazi Kocha…
Baada ya Msimu mbaya wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2021/2022, Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu na Kombe…
Mshambuliaji wa kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati Cesar Manzoki amesema ana nafasi finyu ya kuendelea kuwatumikia Mabingwa wa Soka nchini Uganda…
Meneja wa Habari na Mwasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amewashukia baadhi ya wadau wa Soka wanaotumia kipindi hiki kutaka kuvuruga utulivu…
WACHEZAJI watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco wanawania tuzo ya mchezaji bora. Tuzo hiyo ni maalumu kwa…
Mdau wa Soka mkoani Tanga Nassor Bin Slum ameitahadharusha Young Afrivans kwa kuitaka ijipange kuelekea mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho…
Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Ally ‘Jembe’ ametoa habari za ndani kabisa kuhusu mustakabali mzima wa mshambuliaji wa klabu ya Simba raia…