KISA SARE NA YANGA JANA…PABLO ‘KAFURA KWA HASIRA’ SIMBA…ADAI WALIKUWA WANAUHAKIKA WA USHINDI…
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema hajafurahishwa na sare ya bila kufungana dhidi ya Yanga kwa kuwa lengo lilikuwa tupate pointi zote tatu.…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema hajafurahishwa na sare ya bila kufungana dhidi ya Yanga kwa kuwa lengo lilikuwa tupate pointi zote tatu.…
PAMBANO la watani wa jadi kati ya Yanga ambaye alikuwa mwenyeji na Simba limemalizika kwa matokeo ya sare ya bila kufungana ikiwa…
MSHAMBULIAJI Saido Ntibazonkiza wa Yanga hakuwepo kabisa katika mstari wa wachezaji wenzake wakati wanasalimiana kabla ya mchezo dhidi ya Simba kuanza. Wakati…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Bernard Morisson amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na mashabiki wa Yanga katika mchezo wao dhidi ya Yanga…
Dakika 90 zimekamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam huku zikishuhudia mechi ya watani wa Jadi kati ya Yanga…
BAADA ya kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi kuthibitisha kumkosa Yacouba Sogne kwenye mchezo wa leo straika huyo ameibuka na kusema wana kikosi…
TAKWIMU za mechi sita zilizopita za Ligi kwa kila timu, zinatoa taswira kuwa wachezaji wanne wenye majukumu ya kushambulia watakuwa katika ulinzi…
MBINU ya kutumia idadi kubwa ya wachezaji katikati mwa uwanja huenda ikaongeza utamu wa mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amezijibu tuhuma za Watani zao wa jadi, Yanga kwamba…
Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji, ameweka wazi kuwa kwa upande wake, anaona Yanga wana nafasi kubwa katika…
Geita Gold FC na Azam FC zimegawana alama moja moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara uliochezwa jana Jioni katika…
MSHAMBULIAJI wa Azam, Prince Dube anajivunia rekodi yake ya kuifunga Yanga ambayo imedumu kwa mwaka mmoja sasa bila ya kuvunjwa. Rekodi hiyo…