UZINDUZI WA JEZI YA SIMBA SEPTEMBA 4
SASA ni rasmi kuwa uzinduzi wa jezi za Klabu ya Simba itakuwa ni Septemba 4, saa 1:00 usiku. Kupitia kwa Fred Ngajiro…
Browse all posts in this category.
SASA ni rasmi kuwa uzinduzi wa jezi za Klabu ya Simba itakuwa ni Septemba 4, saa 1:00 usiku. Kupitia kwa Fred Ngajiro…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba SC, amewatuliza Wanasimba kisha akasema: “Msimu wa 2021/22, tutafanya vizuri katika mashindano yote.” Msimu uliopita, Simba ilibeba Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam,…
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Sunday Manara amesema ili kikosi cha Yanga kiweze kufanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na…
MABEKI wazawa wawili ndani ya kikosi cha Simba, Shomari Kapombe ambaye ni ubavu wa kulia na Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ ambaye ni nahodha msaidizi wamekimbiza kwa…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo Septemba Mosi wanatarajia kuzindua uzi mpya kwa ajili ya msimu wa 2021/22. Ni kazi…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amempa maagizo mazito kocha mkuu wa klabu hiyo Mfaransa, Didier Gomes kuhakikisha…
RASMI sasa Yusuph Mhilu ni mali ya Simba baada ya uhamisho wake kukamilika na mabosi wa Simba kuweka mkwanja mezani kwa ajili…
Kiungo wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Thadeo Lwanga, hatokuwa sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The…
Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Crescentius Magori, amekanusha taarifa za klabu hiyo…
BEKI mpya wa Simba, Henock Inonga Baka amesema kuwa Chris Mugalu ndiye mchezaji ambaye anampa ushirikiano mkubwa katika kuyazoea kwa haraka maisha…
MABEKI wazawa wawili ndani ya kikosi cha Simba, Shomari Kapombe ambaye ni ubavu wa kulia na Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ ambaye ni…
MABINGWA wa Tanzania ambao jana walipokea kundi la mwisho la msafara waliokuwa kambini Rabat, Morocco kabla ya leo kuungana tena kwenye mazoezi…