SIMBA DAY YA MSIMU HUU USIPIMEEH…MABINGWA WA AFRIKA KUTUA NCHINI KUKIPIGA SIKU HIO
HUKU kikosi cha Simba kikiwa kimerudi nchini leo mchana kikitokea Morocco kilipokuwa kimeweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania…
Browse all posts in this category.
HUKU kikosi cha Simba kikiwa kimerudi nchini leo mchana kikitokea Morocco kilipokuwa kimeweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania…
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amemuwekea ngumu kiungo mkabaji wa timu hiyo, Jonas Mkude kwa kumtaka abadilike juu ya matukio yake…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba SC, amewatuliza Wanasimba kisha akasema: “Msimu wa 2021/22, tutafanya vizuri katika mashindano yote.” Msimu uliopita, Simba…
BAADA ya kumaliza maandalizi ya kwanza kuelekea msimu mpya wa 2021/22 na kurejea Tanzania, kiungo wa Simba Peter Banda ameitwa kwenye kikosi cha…
Kipa wa Simba, Beno Kakolanya amewaomba mashabiki kuendelea kuisapoti timu hiyo ili msimu ujao wazidi kufanya vizuri na kubeba mataji kama walivyofanya…
MSIMU unaoanza mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamesajili wachezaji kumi, jambo ambalo halikutegemewa na wafuatiliaji wengi wa soka ndani na…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo kimewasili Tanzania kikitokea nchini Morocco. Timu hiyo iliweka kambi nchini Morocco na…
MOJA ya mabeki imara wazawa ndani ya ardhi ya Tanzania kwenye ubavu wa kulia huwezi kuliacha kulitaja jina la mwamba, Shomari Kapombe…
IMEISHA hiyooo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabosi wa Simba kumalizana na mshambuliaji nyota, Kibu Denis na kupanga kumtambulisha mara timu itakaporejea…
Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungenzi ya Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Mohamed Dewji ‘Mo’, amemjibu Haji Manara kwa kueleza…
KIKOSI cha Simba ni bora. Hiyo ni kauli ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba Ismail Rage kwa timu yake akiamini itakuwa tishio…
LICHA ya kutua Mtibwa Sugar kwa mkopo, beki wa kati wa Simba, Ibrahim Ame, amesema kujiunga kwake na timu hiyo haina maana…