SIMBA WATAJA SABABU YA KUTOSHIRIKI KAGAME CUP , YANGA WATAJWA
Simba imetangaza kujitoa kwenye mshindano ya Kagame yanatotarajiwa kufanyika mapema Agosti jijini Dar es Salaam. Mratibu wa timu Simba, Abbas Ally amesema…
Browse all posts in this category.
Simba imetangaza kujitoa kwenye mshindano ya Kagame yanatotarajiwa kufanyika mapema Agosti jijini Dar es Salaam. Mratibu wa timu Simba, Abbas Ally amesema…
MABINGWA wa Kombe la Shirikisho, Simba tayari wameshawasili Dar na taji hilo baada ya kulitwaa jana. Katika mchezo wa Kombe la Shirikisho…
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa ikiwa ataulizwa kama apoteze mchezo ama atwae taji yeye angechagua kutwaa taji. Hiyo imetokana…
UWANJA wa Lake Tanganyika, Kigoma katika fainali ya Kombe la Shirikisho, Simba imetwaa taji Lake mara mbili mfululizo baada ya msimu uliopita…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Julai 25 dhidi ya Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma mwisho wa…
BAADA ya Ofisa wa Habari wa Simba, Haji Sunday Manara, kuweka hadharani chuki anazodaiwa kufanyiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa timu hiyo, Barbara Gonzalez, hatimaye…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Dewji ‘Mo’ atazungumza na waandishi wa habari ndani…
MLINZI wa kulia wa klabu ya Simba, David Kameta ‘Duchu’ huenda akawa sehemu ya kikosi cha klabu ya Mbeya kwanza kitakachoshiriki Ligi…
KLABU ya Simba inaripotiwa kuwa ‘Siriaz’ na mpango wa kumsajili kiungo mshambuliaji kinda wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda anayekipiga kwa mkopo…
UNAKUMBUKA ile posho ya milioni 500 ambayo uongozi wa Yanga uliwaahidi wachezaji na benchi la ufundi endapo wataifunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu na…
WAKATI kesho kikosi cha Simba kikitarajiwa kumenyana na watani zao wa jadi, Yanga kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, kitawakosa nyota wake…
LICHA ya kukamilisha mzunguko wa pili na kucheza jumla ya mechi 34, safu ya ushambuliaji wa Simba inayoongozwa na John Bocco imeonekana…