SIMBA WATUA MWANZA KAMILI KUWAVAA RUVU SHOOTING
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, leo Juni Mosi, 2021 kimewasili jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu…
Browse all posts in this category.
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, leo Juni Mosi, 2021 kimewasili jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu…
KLABU ya Simba, inafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wake mshambuliaji raia wa Zimbabwe, Perfect Chikwende huku ikipanga kumuongezea mkataba Francis Kahata. Mkataba wa Kahata unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu…
IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha Simba, Ibrahim Ajibu msimu utakapomeguka atasepa ndani ya kikosi hicho ili akapate changamoto mpya. Ajibu alijiunga…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Juni Mosi kinatarajiwa kukwea pipa kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wa…
KOCHA wa Simba, Didier Gomes amesisitiza kwamba hafikirii kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake, lakini akataja nafasi mbili atakazonunua mastaa wapya ili…
BAADA ya mabosi wa Yanga kutangaza kuachana na kiungo wao Carlos Carlinhos imekuwa ikielezwa kuwa huenda akaibukia ndani ya kikosi cha watani…
HUENDA ingekuwa si tatizo la majeraha ya mara kwa mara ambayo yanamuandama nahodha wa Simba, John Raphael Bocco, mshambuliaji pekee ambaye…
EMANUEL Okwi, mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Simba anatajwa kurejea tena ndani ya kikosi hicho msimu ujao kwa ajili ya kutumikia…
BIG bosi wa Benchi la Ufundi la Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa amebainisha mapema kwamba wapinzani wao, Azam FC ni njia ya wao kutinga…
NYOTA watatu wa kikosi cha Simba wameingia katika kinyang’anyiro cha kusaka mchezaji bora wa mwezi Mei. Tuzo hiyo ni maalumu kwa ajili…
MASHABIKI wa Simba jana baada ya Bernard Morrison kufunga bao kali dhidi ya Namungo, walilipuka kwa sauti kubwa wakisema: “Bao la Morrison lirudiwe, hatujaliona vizuri. ”Morrison alifunga bao hilo dakika…
Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes da Rosa yupo kwenye rada za kuchukuliwa na timu kigogo kutoka Afrika Kusini , timu ya…