KUELEKEA MSIMU UJAO…AZAM FC WACHOKA KUWA WASINDIKIZAJI…WAPANGA KUSHUSHA VYUMA HIVI…
Matajiri wa soka nchini, Azam FC imepoteza matumaini yua kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini mabosi wa klabu hiyo…
Browse all posts in this category.
Matajiri wa soka nchini, Azam FC imepoteza matumaini yua kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini mabosi wa klabu hiyo…
Simba imerejea jijini Dar es Salaam na juzi ilitarajiwa kuanza kambi kujiandaa na mechi zao za Ligi Kuu Bara na kiporo cha…
Simba juzi ilikuwa mkoani Lindi ikipambana na Namungo ya huko katika mchezo wa Ligi Kuu Bara huku mjini kuna mfadhili wao mmoja…
UNAAMBIWA dili la Stephen Aziz Ki kujiunga na Yanga, lina mkono mkubwa wa nyota wa timu hiyo, Yacouba Songne ambaye ni rafiki…
KILA mafanikio yana zawadi sahihi kutoka kwa Mungu, kauli hii inakamilishwa zaidi na dili nono alilowekewa mezani beki kisiki wa Simba raia…
WINGA machachari wa RS Berkane ya nchini Morocco, Tuisila Kisinda ameonekana kuwagawa mabosi wa timu hiyo, katika mipango ya kutaka kumrejesha kikosini…
KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara watakachokitumia katika michuano ya kimataifa msimu ujao, Simba SC imepanga kuachana na wachezaji sita wa kigeni…
Wakati wachezaji Kibwana Shomari na Saido Ntibazonkiza wakiwa wanafanya vyema ndani ya Yanga, habari mbaya zaidi kwa upande mwingine ni kuwa wachezaji…
Wakala wa Beki kutoka DR Congo na klabu ya Cape Town City FC ya Afrika Kusini Nathan Idumba Fasika amekanusha taarifa za…
Unaambiwa kosa la kupigwa kadi nyekundu kwa mshambuliaji Chris Mugalu limemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco kuwaomba viongozi wake kuhakikisha wanamshawishi…
Imeelezwa kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa…
LICHA ya kwamba mkataba wake unaelekea ukingoni huku akihusishwa na kurejea Azam, kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula juzi usiku alitamka…