Uncategorized
Browse all posts in this category.
ZAHERA: NITAWAFUKUZA WACHEZAJI WOTE – VIDEO
TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga Sc kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho…
NDUGU YAKE NA MEDDIE KAGERE AMWAGA WINO YANGA
Imefahamika kuwa winga hatari wa kulia na kushoto anayekipiga Klabu ya Mukura Victory Sports ya Rwanda, Patrick Sibomana, usiku wa kuamkia juzi…
YANGA YAFUNGUKA JUU YA KUMSAJILI NDEMLA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kumsajili kiungo wa Simba, Said Ndemla ambaye amekuwa akihusishwa…
UFAFANUZI NAMNA KAGERA ILIVYOSHUKA DARAJA
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bodi ya Ligi kabla ya michezo GD ya Stand United ilikuwa -9 na GD ya Kagera Sugar…
WAZAWA JIPIMENI KWENYE SURA YA JOHN BOCCO
Na Saleh AllyMABINGWA wa Ligi Kuu Bara kwa misimu miwili mfululizo sasa, Simba tayari wanakwenda kwenye usajili ambao utawalazimisha kuangalia kilicho sahihi…
ZIDANE ANA MAMBO MANNE YA KUWEKA SAWA REAL
BAADA ya kufanya vibaya msimu huu wa 2018/19, uongozi wa Real Madrid unakabiliwa na kibarua kigumu cha kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri msimu…
KIMENUKA TENA! MAPACHA WA P-SQUARE KUBURUZANA MAHAKAMANI
Wasanii maarufu nchini Nigeria, ambao ni mapacha Peter na Paul Okoye (P-Square) huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul ametumia picha…
SIMBA FULL SHANGWE LEO WABEBA KOMBE LAO LA 20 TPL
MABINGWA watetezi Simba leo wamekabidhiwa kombe la Ligi Kuu Bara na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola baada ya…
Stand United yashuka rasmi daraja!
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Stand United ya Shinyanga rasmi wameshuka daraja baada ya kufungwa…