VIDEO: YANGA YAIFANYIA UMAFIA SIMBA, DABI SASA NI SEPTEMBA 25
YANGA yaifanyia umafia Simba ishu ya usajili, dabi sasa ni Septemba 25 kwa Mkapa.
Browse all posts in this category.
YANGA yaifanyia umafia Simba ishu ya usajili, dabi sasa ni Septemba 25 kwa Mkapa.
INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji…
PETER Banda nyota wa kimataifa wa Malawi anayekipiga ndani ya Big Bullets inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba…
MSOWOYA Chiukepo nyota wa Big Bullets ambaye jana Agosti Mosi alipachika bao la usawa mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Kagame amesema…
SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kwamba wanaweza kuchukua ubingwa wa Kombe la Kagame ikiwa wataongeza juhudi huku akiamini kwamba wakiongezwa…
HERITIER Makambo atua Dar kibabe na ameahidi makubwa, Mayele kazi imeanza,aahidi makubwa.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa kwake ni jambo zuri kufunga kwa ajili ya timu yake ambapo alifanya hivyo jana Agosti…
JANA Yanga ilicheza mchezo wa ufunguzi na Big Bullets ambapo ulikuwa ni wa Kombe la Kagame, mashabiki wameweka wazi kwamba Yanga ni…
MSHAMBULIAJI Heritier Makambo leo amewasili ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao ambao tayari wameshamalizana na nyota Fiston Mayele. …
FISTON Mayele leo Agosti Mosi baada ya kutambulishwa ameshuhudia mchezo wa ufunguzi kati ya Yanga ambayo ni timu yake mpya dhidi ya…
TIMU ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 leo imerejea na imeweza kupokelewa na mashabiki ikiwa na Kombe la Cecafa pia…
TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi imerejea Tanzania ikitokea nchini Ethiopia ambapo imetwaa taji…