YANGA YAJIWEKA MGUU SAWA KUKIMBIZA DAKIKA ZOTE 90
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa mwendo wa mazoezi wanayofanya wachezaji wake, anaamini kwamba kwenye mechi za ushindani watakuwa na kazi ya kukimbiza wapinzani wao dakika zote…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa mwendo wa mazoezi wanayofanya wachezaji wake, anaamini kwamba kwenye mechi za ushindani watakuwa na kazi ya kukimbiza wapinzani wao dakika zote…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hauna tatizo ikiwa itatokea timu inahitaji mchezaji wake ili ipate huduma yake kwa kuwa mpira…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umerejea kwa kasi kwenye mchakato wa kuchambua jina moja la mrithi wa Cedric Kaze aliyetimuliwa Machi 7, mwaka huu. Mchakato huo ulisimama kwa muda wa…
JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa kikosi cha Yanga amesema kuwa kitu kikubwa ambacho anakitazama kwa ajili ya mchezaji atakayeanza kikosi cha kwanza ni kujituma mazoezini pamoja na nidhamu kiujumla.…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) limefafanua kuwa adhabu aliyopewa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela kuwa imeegemea kwenye…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, ameanza mazoezi katika timu hiyo kwa program maalum kabla ya kuungana na wenzake katika mazoezi ya pamoja. Hiyo ikiwa ni siku moja tangu kiungo…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi kimezidi kujinoa kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na…
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki wake kuendelea kuwa na furaha kwa kuwa bado wapo imara na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi za…
ALIYEWAHI kuwa nyota wa klabu ya soka ya Yanga na timu ya Taifa , Taifa Stars Ally Mayay amesema kuwa uwezo mkubwa…
BEKI mpya wa klabu ya Yanga, Dickson Job amesifu mbinu zinazotumiwa na Kaimu kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mwambusi na kusema…
JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amesema kuwa maandalizi ya vijana wake yapo vizuri jambo ambalo linampa furaha ya…