BAKARI MWANYETO JEMBE LA KAZI YANGA LICHA YA MAKOSA YANAYOIGHARIMU TIMU
LICHA ya makosa ambayo amekuwa akiyafanya ya mara kwa mara ndani ya uwanja, beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, ni jembe la kazi kwa kuwa kila mechi…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
LICHA ya makosa ambayo amekuwa akiyafanya ya mara kwa mara ndani ya uwanja, beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, ni jembe la kazi kwa kuwa kila mechi…
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kuonesha moto ndani ya timu hiyo baada ya kuwapa wachezaji wake mambo manne anayotaka kuyaona. Mwambusi anakaimu nafasi ya aliyekuwa kocha mkuu…
KIUNGO wa Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, amesema hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea Rwanda kama ambavyo vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti. …
JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kurejea kwa Saido Ntibanzokiza kumeongeza ari ya kupambana kwa wachezaji wenzake. Kiungo…
NYOTA wawili wa kikosi cha Yanga kilicho chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi wamevuruga mipango ya kocha huyo kutokana na…
WAKATIaliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akitajwa kurejea kwenye klabu hiyo, wachezaji wa zamani wa timu hiyo wamefunguka kuhusiana na ujio wake. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu taarifa…
KIUNGO wa klabu ya soka ya Yanga na timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima amesema kuwa hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea…
HATIMAYE baada ya kiungo wa Yanga, Tonombe Mukoko kuhusishwa kuhitajika na miamba ya soka kutoka Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, kiungo huyo ameweka wazi ishu hiyo huku yeye mwenyewe akisema kuwa taarifa…
AKIANZA kibarua cha kukinoa hicho, Kocha Mkuu wa makipa wa Yanga raia wa Kenya. Razack Siwa amesema kuwa amevutiwa na viwango vya makipa wote aliowakuta. Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kocha…
KAIMU Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa anaamini washambuliaji wake watawashangaza wengi ligi itakapoanza kutokana na program…
“HIZO taarifa ndiyo kwanza nazipata kwako, hivyo bado sijajua maamuzi yoyote juu ya hilo, lakini hivi sasa natafakari kama nitaweza kukata rufaa,” hiyo ni kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick…
USISHANGAE kuona mchezo ujao wa Yanga dhidi ya KMC safu yao ya ulinzi ikaongozwa na Abdallah Shaibu ‘Ninja’ na Dickson Job baada…