INJINI HERSI :- KOCHA MPYA YANGA NI MPAKA IJUMAA
Wakati mashabiki na wanachama wa Yanga wakiwa na shauku ya kujua nani atachukua mikoba ya kuinoa timu yao, makamu mwenyekiti wa kamati…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
Wakati mashabiki na wanachama wa Yanga wakiwa na shauku ya kujua nani atachukua mikoba ya kuinoa timu yao, makamu mwenyekiti wa kamati…
IMEELEZWA kuwa Juma Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga atakiongoza kikosi hicho kwenye mechi zote ambazo zimebaki ndani ya Ligi…
KOCHA aliyeachishwa kazi na Yanga wiki iliyopita, Cedric Kaze ameibuka hadharani kupitia gazeti la Mwanaspoti na kueleza mambo mazito yaliyomkuta lakini akasema…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado una matumaini ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 kwa kuwa hawajakata tamaa.…
Kocha aliyetemwa na Yanga, Cedric Kaze amesema bila wachezaji wawili wa kigeni, Saido Ntibazonkiza na Yacouba Sogne kurudi kwenye ubora wao, timu…
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa anaona wazi kwamba kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos hawezi kucheza…
CEDRIC Kaze, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kama angekuwa bado ndani ya benchi la ufundi angewafunga Simba kwenye mchezo wa…
WAKATI kwa sasa kikosi cha Yanga kinachoongoza Ligi Kuu Bara kikiwa na pointi 50 kikiwa chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi,…
IMEELEZWA kuwa mabosi na kamati tendaji ndani ya Yanga wamemfanyia mahojiano kocha wa zamani wa Township Rollers, ya Botswana, Nikola Kavazovic, raia wa…
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa bado nyota wa Yanga, Michael Sarpong ana kazi ya kuonyesha…
TONOMBE Mukoko raia wa Congo pamoja na Haruna Niyonzima wa Rwanda ambao wote ni viungo washambuliaji wameondoka ndani ya kikosi hicho…
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua…