SAIDO AREJEA RASMI KAZINI
HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ameanza mazoezi rasmi mara baada…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ameanza mazoezi rasmi mara baada…
MOJA ya makocha ambao wapo kwenye nafasi nzuri ya kupewa nafasi ya kuinoa Yanga msimu ujao ni kocha wa zamani wa timu…
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kwa spidi ya aina yake katika kikosi hicho akiweka program ya kufanya mazoezi mara…
BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa za kipa namba moja wa Yanga, Metacha Mnata kuwa njiani kujiunga na Simba kwa ajili ya msimu…
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kulifanyia kazi tatizo linalomfanya kutokufunga straika wa timu hiyo, Michael Sarpong kwa kumpa mazoezi…
KOCHA wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa tayari wameshampata kocha wa makipa wa timu hiyo ambaye ataungana na kambi hivi karibuni tayari…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Taifa ya Burundi yakiwa ni maandalizi kuelekea mechi za…
BAADA ya tetesi kueleza kuwa nyota wa Yanga, Metacha Mnata anatajwa kuingia anga za Simba, meneja wa mchezaji huyo amesema kuwa kipa…
MSHAMBULIAJI Ditram Nchimbi ‘Duma’ wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, amefikisha mwaka mmoja bila kufunga bao ikiwa inaamanisha kwamba…
INAELEZWA kuwa, uongozi wa Yanga upo kwenye hesabu za kumrejesha kundini mshambuliaji wao wa zamani David Molinga ‘Falcao’ kwa lengo la kutaka…
IMEELEZWA kuwa kipa namba moja wa Klabu ya Yanga, Metacha Mnata yupo kwenye rada za mabosi wa mtaa wa Msimbazi, Simba ili…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa malengo yao makubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara yapo palepale licha ya kuwa kwenye…