HUYU HAPA MZAWA KUPEWA MIKOBA YA KAZE NDANI YA YANGA
IMEELEZWA kuwa baada ya Cedric Kaze raia wa Burundi kufutwa kazi ndani ya kikosi hicho mikoba yake atakabidhiwa mzawa Juma Mwambusi…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
IMEELEZWA kuwa baada ya Cedric Kaze raia wa Burundi kufutwa kazi ndani ya kikosi hicho mikoba yake atakabidhiwa mzawa Juma Mwambusi…
HANS De Pluijm, kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga amesema kuwa hajafanya mazungumzo na kiongozi wa timu hiyo kwa sasa…
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga, raia wa Burundi, Fiston Abdulazack amesema kuwa suala la sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi…
BAADA ya Klabu ya Yanga kuachana na benchi lao la ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze wachezaji nao wamepewa onyo…
IMEELEZWA kuwa kipa namba moja wa Klabu ya Yanga, Metacha Mnata amejiweka kando ndani ya klabu hiyo kutokana na matokeo mabovu…
ALIYEKUWA katibu muenezi wa Yanga, Abdallah Sauko ameunga mkono maamuzi ya uongozi kumtimua kocha Cedrick Kaze, lakini ameamua kutumbua jipu katika…
BAADA klabu ya Yanga kuachana na kocha wake Cedric Kaze, wadau wa soka wamewashauri viongozi wa Yanga kutafuta kocha mzawa kwa kipindi…
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Simba na sasa ni Mkurugenzi wa mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Salum Madadi amesema bado…
MASAA kadhaa baada ya Uongozi wa Klabu ya Yanga kumfungashia virago Kocha Mkuu wake Mrundi Cedric Kaze ametoa la moyoni baada ya…
MZUNGUKO wa pili, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze mambo yalikuwa magumu kwake kutokana na kushindwa kupata matokeo chanya kwenye mechi zake…
IMEELEZWA kuwa miongoni mwa makocha ambao wanatajwa kubeba mikoba ya benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Yanga kilichokuwa kikinolewa na Kocha…
MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi ndani ya Klabu ya Yanga, Dominick Albinus amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya waachane na benchi lao la…