Trending Stories
View All
AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA LEO TAIFA
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa leo ataingia uwanjani kwa tahadhari mbele ya Yanga na hesabu zake…
YOUNG AIPA MKONO WA KWAHERI UNITED, SASA NI MWANA INTER MILAN
ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United, Ashley Young amekamilisha dili lake la kujiunga na klabu ya Inter Milan. Beki huyo mwenye…
SIMBA SC YACHOTA MILIONI 633, CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, Januari 18,2020
MBADALA WA ZAHERA AANZA MIKWARA YANGA, ATOA SIKU SABA
KATIKA kipindi cha siku 30 zilizopita Yanga wameitengeneza sura mpya ya kikosi chao baada ya kufanya usajili kabambe kwenye dirisha…
TSHISHIMBI AYAZUA YANGA
Nahodha na kiungo mkabaji wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi, huenda akakutana na msala kutoka kwa kocha mpya wa timu hiyo,…
NIYONZIMA APEWA MZIGO YANGA
Akianza kibarua cha kukinoa kikosi cha Yanga, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael amempa jukumu zito kiungo mchezeshaji…
LUC EYMAEL AANIKA MAPEMA KITAKACHOMUONDOA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji ametangaza kwamba ataikimbia Ligi Kuu ya Tanzania Bara mapema kama wapinzani…
AUSSEMS AIBUKA TENA, ATOA TAMKO JUU YA SIMBA
KOCHA wa zamani wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa amesikia kelele za mashabiki wa timu hiyo wakishinikiza uongozi umrudishe kufundisha…
KIMENUKA!! GSM YAWABANA VIONGOZI YANGA
Imeelezwa kuwa wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM imewabana viongozi wa klabu hiyo katika suala zima la utoaji fedha kuhakikisha…
HIKI NDICHO KIWANGO CHA MISHAHARA KWA WACHEZAJI SIMBA, NI BALAA ZITO
Imefahamika kuwa, kiwango cha mishahara ya wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi la Simba ni Sh Mil 350 ambapo…
MBELGIJI WA YANGA:KAGERA SUGAR BAHATI YAO WALITUOTEA, LEO USHINDI HALALI YETU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa Kagera Sugar wamewaotea kuwachapa mabao 3-0 hivyo leo watawasha moto mbele ya…
MKUU WA MKOA WA DAR, MAKONDA APEWA CHEO NDANI YA SIMBA
Verified MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni shabiki wa Simba, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu…
MTIBWA SUGAR: HAIKUWA BAHATI YETU LEO, YAFUNGWA MABAO 2-0 NA KMC
SADALA Kipangwile, leo amekuwa nyota wa mchezo kwa KMC kwa kupeleka kilio mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi…
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA ALLIANCE FC
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa hawatailazia damu mechi yao dhidi ya Alliance, inayotarajiwa kuchezwa Januari, 20, Uwanja…
MILIONI 250 ZAPEPERUKA KIMAAJABU NDANI YA DAKIKA 180 YANGA
IMEELEZWA kuwa Yanga imezipeperusha milioni 250 ndani ya dakika 180 ambazo ni sawa na mechi mbili walizocheza wachezaji wao kwenye…
AZAM FC YAPANIA KUMPA MACHUNGU MENGINE MZUNGU WA YANGA
UONGOZI wa Azam FC umesema utamuongezea mzigo wa machungu, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael ambaye alipokea kichapo cha mabao…