Trending Stories
View All
PONGEZI ZA DHATI KWA WACHEZAJI SIMBA ZATOLEWA
Kocha Mkuu wa timu ya Simba SC, Sven Vanderbroeck amewapongeza wachezaji wake baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya…
NAMNA SIMBA WATAKAVYONUFAIKA NA PESA SAMATTA ASTON VILLA, RAGE AFUNGUKA
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, amesema alisaini mkataba na TP Mazembe ambao unaiwezesha Simba kupata…
HAJI MANARA AMVAA TENA NUGAZ WA YANGA
Mvutano wa maneno unaendelea kati ya Afisa Habari wa Simba, Haji Manara na Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga, Antonio…
JEMBE JIPYA YANGA LANIKA AHADI KUBWA BAADA YA KUTUA BONGO
Mshambuliaji raia wa Ghana Bernard Morrison, rasmi juzi alitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wa…
MOURINHO AMUAGA MMOJA TOTTENHAM
KOCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho, amesema kuwa kiungo wake, Christian Eriksen aondoke akiwa nafuraha. Mara kwa mara kiungo huyo…
KOCHA YANGA AGEUKA MBOGO KWA WACHEZAJI
Kocha wa Yanga, Luc Eymael amewacharukiwa wachezaji wa kikosi hicho baada ya kushindwa kutumia nafasi walizotengeneza kupata mabao ya haraka…
YANGA YACHANA MKEKA TENA UWANJA WA TAIFA, YAPIGWA BAO 1-0
LUCY Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo ameiongoza timu yake kupoteza kwenye mechi yake ya pili kwa kufungwa bao 1-0…
LIGI KUU BARA: AZAM FC 1-0 YANGA
Dakika ya 60 Chirwa anachezewa rafuDakika ya 56 Ditram Nchimbi anaingia kuchukua nafasi ya Patrick SibomanaDakika ya 54 Mahundi anapeleka…
KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA YANGA
Kikosi cha Azam FC dhidi ya Yanga 1.Razak Abalora 2.Nikolas Wadada 3.Bruce Kangwa 4.Daniel Amoah 5.Oscar Masai 6.Braison Raphael 7.Joseph…
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AZAM FC
Kikosi cha Yanga dhidi ya Azam FC 1.Farouk Shikalo 2.Juma Abdul 3.Jaffary Mohamed 4.Lamine Moro 5.Ally Mtoni Sonso 6.Papy Tshishimbi…
MATOKEO YA MECHI ZA NYUMA ZA AZAM FC NA YANGA ZIPO HIVI, TUJIKUMBUSHE
IKIWA leo Azam FC itamenyana na Yanga matokeo yao yapo namna hii kwenye mechi zao zilizopita:-2010/11, Yanga 2-1 Azam, Azam…
KINACHOIBEBA COASTAL UNION CHATAJWA
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kinachoibeba timu yake kupata matokeo chanya ni kujituma kwa wachezaji wake…
HUU NDIO ‘UGONJWA’ WA BEKI KISIKI WA SIMBA
BEKI kisiki ndani ya kikosi cha Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa ‘ugonjwa’ wake mkubwa kwenye chakula…
HIZI HAPA DAKIKA 450 ZA MOTO KWA MBELGIJI WA YANGA, RATIBA YAKE BALAA, BANDIKA BANDUA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji ana kibarua kizito cha kuzimega dakika 450 ambazo ni za moto…
HUYU HAPA NYOT WA AZAM FC AMEPEWA JUKUMU LA KUIMALIZA YANGA LEO
NICHOLAUS Wadada, beki kisiki wa Azam FC leo amepewa kazi moja ya kuigoza safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Obrey Chirwa…