AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wamechoka kugotea hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa hivyo watapambana kuvuka hatua hiyo.
Kwa sasa kikosi cha Simba kipo nchini Misri kwa maandalizi ya mwisho kuelekea...
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa ni 11 ili kufanikisha malengo aliyokuwa nayo msimu wa 2024/25.
Beki huyo mwanzo wa msimu baada ya kufungua...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao dhidi ya Al Masry na wameanza na mazoezi muda mfupi baada ya kufika Misri ili kuwa imara kwenye dakika 90 za ushindani.
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari...
Je unajua kuwa unweza ukaanza wikendi yako vyema ukiwa na Meridianbet siku ya leo?. ODDS BOMBA zipo hapa lakini pia mechi za kukupatia mkwanja zipo leo, Jisajili na ubashiri sasa.
PRIMEIRA LIGA itaendelea ambapo Gil Vicente Barcelos atamualika kwake Benfica...
UONGOZI wa Klabu ya Simba umeanza maandalizi mapema kwa ajili ya mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry, utakaochezwa Aprili 2, 2025, nchini Misri.
Hatua hiyo imekuja baada ya mjumbe wa Bodi ya...
Wenzako wakipiga pesa ndani ya Meridianbet wewe huwa umelala, basi mimi leo nakwambia hivi amka na ubashiri hapa kwani timu za kibae zitakuwa uwanjani kusaka ushindi hivyo wewe saka mapene.
Ufaransa LIGUE 1 kitapigika leo Angers atamenyana dhidi ya Stade...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud, amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na wachezaji wake kuhakikisha wanapata matokeo mazuri uwanjani, akisisitiza kuwa hali hiyo inapaswa kuendelea kutokana na ushindani mkali uliopo kwenye Ligi Kuu Tanzania.
Miloud, ambaye alitwaa tuzo ya Kocha Bora...
Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe shabiki wa timu yenye jezi nyekundu au nyeusi na nyeupe, timu yako uipendayo itakusaidia kushinda bonasi za kushangaza na...
Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia katika hekaheka na kukutana na Wonderland. Jisajili Meridianbet upige mamilioni kirahisi.
Ndani yake kuna kukutana na udadisi kadha wa kadha...
Mechi za kufuzu kombe la Dunia zipo leo na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.
Poland atamkaribisha kwake Malta ambao walipoteza mechi...