MECHI ya watani wa jadi, Yanga na Simba maarufu kama Dabi ya Kariakoo, imeota mbawa baada ya kuahirishwa na Bodi ya Ligi kwa sababu ya malalamiko ya Simba kuhusiana na sakata la kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya...
MASHABIKI wa Simba wanachekelea hatua ya mchezo dhidi ya Yanga kuahirishwa, wanawatambia wenzao wa Yanga, kwamba mechi itapangwa, mtapigiwa simu moja tu kutoka juu na mtacheza, lakini wasichojua ni kwamba Wananchi hawatanii na wamejipanga kwa vita mpya, wakikubali kutumia...
Mechi za kufuzu kombe la Dunia zipo leo na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.
Poland atamkaribisha kwake Malta ambao walipoteza mechi...
EDWIN Balua alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotarajiwa kung’ara ndani ya kikosi cha Simba SC msimu huu, hasa baada ya kuonyesha kiwango bora chini ya Juma Mgunda mwishoni mwa msimu uliopita 2023/24.
Uwezo wake wa kucheza nafasi tofauti kwenye safu ya...
YUKO wapi Manula? Kuna nini kinaendelea? Ni maswali yanayosumbua kwa sasa vichwani mwa mashabiki wa soka baada ya kipa huyo tegemeo wa timu ya Taifa kutoonekana uwanjani kwa muda mrefu.
Baada ya kuwepo kwa tetesi za kipa Moussa Camara kuumia...
Mechi kali za Mataifa Duniani leo hii zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.
Denmark baada ya kumpiga Portugal bao moja,...
Meridianbet imeendelea na utaratibu wake kama kawaida wa kurejesha kwenye jamii kile kidogo ambacho wanakipata na safari hii walijikita kwenye kugawa Reflectors na helmet kwa bodaboda.
Reflectors hizo wamezigawa kwa madereva wa bodaboda katika eneo la Kariakoo, kwaajili ya kuhamasisha...
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameweka wazi kuwa anataka kuona kikosi chake kinapata mabao ya ugenini katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry.
Simba, ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania...
Mabingwa wa odds kubwa Tanzania wanakukaribisha Meridianbet uwe na moja wa watu ambao wanaweza kujiondokea na zaidi ya Mamilioni leo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia.
Rwanda uso kwa uso dhidi ya Nigeria ambao wapo nafasi ya 5 huku...
Ni siku nyingine mpya ya fursa kwako wewe mteja wa Meridianbet wa kuchukua mavuno ndani ya Meridianbet. Mechi za Mataifa mbalimbali zinapigwa huku odds za kibabe zikiwa hapa. Ingia na ubeti sasa.
Tukianza na Croatia yeye atakuwa uso kwa uso...