Home Blog Page 16
Rais wa Yanga, Hersi Said pamoja na mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ni kati ya watia nia ambao wamewekwa kando kugombea nafasi ya ubunge. Mangungu alikuwa ameomba kugombea kupitia Jimbo la Kilwa, huku Hersi akiomba kupitia jimbo la Kigamboni jijini...
UPEPO umebadilika. Ndicho unachoweza kusema kutokana na sakata la usajili wa kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’. Awali, Yanga ilikuwa ikitajwa na kuonekana kuwa karibu kumrejesha nyota huyo aliyemaliza Ligi Kuu msimu wa 2024-2025 kinara wa asisti...
Simba imesaini mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Sh20 bilioni na Kampuni ya ubashiri wa matokeo ya michezo ya Betway kama mdhamini mkuu wa klabu hiyo. Mkataba wa udhamini huo unasainiwa leo Jumanne, Julai 29, 2025 jijini Dar es...
Mwezi wa Julai umejaa fursa za kipekee, lakini sasa muda unakimbia na kama bado hujachangamkia promosheni kubwa kutoka Meridianbet, basi sasa ni wakati wako wa mwisho kuchukua hatua. Zimebaki siku mbili tu kabla pazia kufungwa kwa promosheni inayokupa nafasi ya...
Wakali wa ubashiri  Meridianbet tayari wameshakuwekea washindi wako. Ingia kwenye akaunti yako na uchague mshindi wako sasa. Je yupi kuondoka na tuzo hiyo?. ODDS za kibabe zipo hapa. OUSMANE DEMBELE ODDS 1.16 Meridianbet wanampa nafasi ya kwanza kuchukua tuzo hiyo mchezaji...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amekubali kujiunga na timu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili, baada ya kukataa kusaini mkataba mpya na klabu yake ya sasa, kwa mujibu wa chanzo chetu. Chanzo hicho kimesema kwamba,...
MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo mara watakapokuwa wakiwatambulisha kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kuanzia wiki ijayo. Inadaiwa kuwa...
NI kama vile mabosi wa Simba sasa wameamua kujibu kwa vitendo baada ya kuwepo kwa kelele nyingi mtandaoni juu ya kushindwa kufanya usajili na badala yake kutoa 'thank you' tu kwa waliokuwa nyota wa timu hiyo, kwa kumshusha beki...
Kaa kijanja Jumamosi hii endapo kwa dau lako dogo tuu unaweza ukabashiri mitanange uipendayo hapa na wakali wa ubashiri. Jisajili kwenye akaunti yako ya Meridianbet sasa na usuke jamvi lako la ushindi hapa. FC Numberg watakuwa wakiumana dhidi ya 14...
Je, umewahi kujiuliza itakuwaje kama utapata nafasi ya kusafiri kwenda visiwani Malta, eneo maarufu lililopo katika Bahari ya Mediterania, linalojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia na historia ya kupendeza bila kutumia hata shilingi moja kutoka mfukoni mwako? Kwa mara...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS