Wakati kila mtu anazungumzia kuhusu ubunifu na mageuzi kwenye michezo ya kubashiri, Meridianbet imeamua kuonesha mfano. Kupitia huduma mpya inayojulikana kama Early Payout, sasa unaweza kushinda beti yako kabla hata mpira haujamalizika. Ndio, unavyosoma ndivyo ilivyo.
Ni mara ngapi umeweka...
MABOSI wa Yanga wamebadilisha gia angani mara baada ya kumpa ajira kocha mpya Romain Folz atakayetambulishwa wiki hii, ambaye ametaka mastaa wa timu hiyo wakiwamo wapya kina Mousa Conte, Mohamed Doumbia na Celestin Ecua kambini Misri kwa kazi maalumu.
Inadaiwa...
LICHA ya kuhusishwa kukaribia kujiunga na Yanga, aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah ameitosa ofa ya timu hiyo na kwa sasa inadaiwa amemalizana na matajiri wa Algeria, ES Setif FC na kusaini mkataba wa miaka miwili.
Nyota huyo...
WAKATI Simba ikiendelea kutangaza orodha ya wachezaji watakaokuwa nje ya hesabu za timu hiyo kwa msimu ujao wakiwapa 'Thank You', kuna msaidizi mmoja wa kocha Fadlu Davids amejiondoa ghafla.
Aliyetangaza kujiondoa ni mtaalam wa takwimu za wachezaji, Culvin Mavunga aliyetangaza...
ILE vita ya kuwania kiungo Moussa Bala Conte kutoka Guinea, imeisha baada ya Yanga kumtambulisha rasmi juzi mchana ikiizidi kete Simba iliyoanza mapema kumtamani mchezaji huyo.
Iko hivi. Simba ndio walikuwa wa kwanza kumshawishi kiungo huyo wa CS Sfaxien ya...
SIMBA ina hesabu kali ya kufumua eneo la kipa na unaweza kusema hakuna aliye salama, mezani kwa mabosi wa klabu hiyo kuna majina ya makipa wawili wanasubiri maamuzi tu, ili kuchukua nafasi ya Moussa Camara, iwapo wataamua kumpiga chini.
βCamara...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kupiga hesabu ya kuingiza mashine mpya na kuzitema zile ambazo hazina mipango nayo kwa msimu ujao, lakini kuna kiungo mshambuliaji mmoja kutoka DR Congo ambaye faili lake limetua mezani mwa kocha Fadlu Davids.
Kocha huyo aliyepo...
Je msimu huu unaotaka kuanza unadhani nani anaweza kushinda taji la Ligi kuu ya Uingereza yaani EPL?. Meridianbet imekuwekea tayari ODDS na timu ambazo zinaweza kuwa bingwa. Ingia na uweke na jamvi lako hapa.
Mabingwa wa Kombe la Dunia la...
Kama wewe ni shabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, basi habari hii ni ya kukufurahisha kuliko zote. Meridianbet wamezindua rasmi mtoa huduma mpya wa michezo ya slot, Slotopia, na ni wazi kabisa kwamba huu ni mwanzo wa burudani mpya...
YANGA imebakiza hatua ya kumtambulisha tu kocha wake mpya atakayekuja kubeba safari ya kusaka mafanikio zaidi ya mabingwa hao wa soka nchini.
Licha ya kwamba uongozi wa klabu hiyo haujatangaza, lakini taarifa za uhakika nazo ni kwamba kocha anayekuja ni...