Je unajua kuwa kwenye mashindano haya ya WAZDAN unaweza kujishindia mpaka Bilioni Moja na zaidi?. Kama hujajua basi ni hivi mashindano haya sasa yapo Meridianbet ambapo kwa dau lako lolote tuu unaweza ukacheza mchezo wowote na kuibuka mshindi.
Ni siku...
Leo usiku, ulimwengu wa soka utawaka moto kwenye Uwanja wa Bank of America huko Charlotte, Marekani, ambapo miamba ya soka ya Ulaya, Bayern Munich kutoka Ujerumani, watakabiliana na Benfica ya Ureno katika mchezo wa maamuzi wa Kundi C wa...
NYOTA wa Simba SC, Steven Mukwala amefikisha jumla ya mabao 13 ndani ya ligi. Kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Juni 22 alipachika bao moja.
Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba SC 1-0 Kagera Sugar. Bao hilo alipachika dakika...
✍🏿.. ANAANDIKA NAZARETH UPETE
Niwapongeze mno @ligikuu kwa kuamua kuja na waamuzi kutoka nje ya Nchi hasa kwenye mchezo huu wenye maamuzi magumu na unaohitaji sana utayari wa waamuzi bora✅
Tumtazame mwamuzi wa kati:
Huyu ndiye alitakiwa kuchezesha mechi ya Stellenbosch vs...
Je unajua kuwa ukibashiri leo mechi ya PSG vs Settlers Sounders kwa chaguo la GG&3+ inakulipa mara mbili zaidi?. Ni rahisi tuuh suka jamvi lako la ushindi na Meridianbet na kwenye hizo mechi zako ongezea na hii mechi ya...
Nyota wa Simba, Moussa Camara ameibuka kipa bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kufikisha 'Clean Sheets' 19, ikiwa ni msimu wake wa kwanza hapa nchini tangu ajiunge na kikosi hicho akitokea Horoya AC ya...
KATIKA maboresho ya kikosi cha Yanga kwa ajuili ya msimu ujao wa 2025-2026, Yanga imepanga kufanya usajili wa kuziba maeneo machache ikiwemo eneo la beki wa kati.
Kwa sasa eneo hilo lina vitasa wa maana, Ibrahim Bacca, Dickson Job na...
KIONGOZI wa N-Card Catherine Chami amewapa uhakika mashabiki waliopoteza tiketi zao ambazo walizikata kwa ajili ya mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 bado wana nafasi ya kuingia uwanjani Benjamin Mkapa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitangaza Tanzania kama nchi itakayoandaa mechi na tukio la ufunguzi wa fainali za CHAN 2024 zitakaofanyika kuanzia Agosti 2 hadi Agosti 30 mwaka huu katika nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.
Taarifa iliyotolewa...
DONE Deal! Ndiyo, Azam FC kwa sasa inasubiriwa kutangaza tu juu ya kumnasa kocha mwenye heshima zake katika soka la Afrika, Florent Ibenge (63) aliyekuwa akiinoa Al Hilal ya Sudan.
Azam ilimleta jijini Dar es Salaam kocha huyo kutoka DR...