Home Blog Page 2484
MRISHO Ngassa, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa amejichimbia Mwanza huku akichukua tahadhari ya kujilinda na Virusi vya Corona.Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimamishwa kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wakati ligi inasimamishwa...
EDINSON Cavani anamatumaini ya kucheza La Liga katika msimu ujao wa ligi, hii baada ya  dirisha lililopita la Januari kukwama. Atletico ilikuwa mbioni kukamilisha usajili wa staa huyo kipindi cha Januari, lakini inaoneka PSG kuweka ngumu japo alikuwa amesalia na...
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amesema kuwa wachezaji wanapaswa wasikae bila kufanya mazoezi wakati huu wakiwa hawachezi.Ligi nyingi zimesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wachezaji wamerejea nyumbani kuchukua tahadhari.Ndayiragije amesema:"Wakati...
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ni ngumu kuwafuatilia wachezaji kwa wakati huu kama wanafanya mazoezi au la.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona. Matola amesema:" Kwa sasa ni ngumu kujua kwamba...
UPO uwezekano mkubwa wa mastaa wakubwa Simba kutimka kwenye klabu hiyo kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara baada ya kupata ofa nono za kucheza soka nje ya nchi, ikiwemo Afrika Kusini.Mastaa hao wanaotaka kuondoka Simba wote mikataba yao...
UONGOZI wa Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi Kuu England umethibitisha kutokea kifo cha mama mzazi wa Kocha Mkuu Pep Guardiola aliyefariki jana kwa Virusi vya Corona.Dolors Sala Carrio ametangulia mbele za haki akiwa na...
INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye mazungumzo na nyota wao wa zamani, Emannuel Okwi ili arejee tena kukipiga kwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara.Okwi kwa sasa anakipiga ndani ya Klabu ya Al Ittihad alijiunga nayo kwa...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wachezaji wao wote wamekuwa wakionyesha juhudi za kufanya mazoezi wakati huu wa mapumziko jambo ambalo linapaswa liwe na mwendelezo muda wote.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo inaelezwa...
BEKI wa zamani wa kikosi cha Arsenal, Bacary Sagna amesema kuwa klabu hiyo itafanya makosa makubwa iwapo itamuuza nahodha wao, Pierre-Emerick Aubameyang.Nahodha wa Arsenal Auba amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya Arsenal msimu huu huku ikielezwa kuwa amekuwa hana furaha...
JAFFARY Kibaya nyota anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar amesema kuwa wakati huu wa Virusi vya Corona ni muhimu kwa wachezaji kulinda viwango vyao na kuchukua tahadhari kujilinda.Kibaya amesema kuwa kwa sasa kila mmoja anapitia kipindi kigumu ila kinachotakiwa ni...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS