Home Blog Page 2487
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Jumapili, nafasi ya kushinda kwa jero tu ni yako
INAELEZWA kuwa bosi mmoja wa GSM anatarajiwa kupanda ndege hadi nchini DR Congo kwenda kumalizana na winga wa AS Vita, Tuisila Kisinda mwenye miaka 20 akimudu kucheza kiungo wa pembeni (winga). Winga huyo inaelezwa aliwahi kuwaniwa na Simba, Desemba, mwaka...
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Coastal Union amesema kuwa hana hiyana iwapo kikosi cha Simba kitahitaji saini yake. Inaelezwa kuwa mabosi wa Simba wanahitaji huduma ya  beki huyo hali iliyofanya kumtengea dau la milioni 85.Safu yake ya ulinzi imejijengea ukuta makini...
HERITIER Makambo, nyota wa zamani wa Yanga inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya kikosi hicho kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji.Makambo msimu wa 2018/19 alikuwa akiwajaza mashabiki wa Yanga kila anapofunga jambo lililompa umaarufu na alicheza...
NAJUA nimekuwa gumzo kubwa kutokana na maendeleo ambayo nimekuwa nikianza kuyapata taratibu katika mchezo wa soka, ndio maana hata ukiwauliza wapenda mpira majina matatu au manne ya makipa wazuri, leo wanaweza kusema mmoja wao ni Metacha Mnata.Hadi kufikia hapa,...
NA SALEH ALLYITAKUWA si vibaya kukumbusha mambo ambayo tunaamini yatakuwa na msaada katika maendeleo ya mpira wetu nchini.Bila ubishi, kuna mengi tumejadili na huenda hatukuyafanyia kazi lakini leo kuna kitu kinaweza kuwa kinaonekana na kinaonyesha kile tulichokijadili hatukukifanyia kazi...
Na Saleh AllyHAKUNA anayelalamika kuhusiana na kiwango cha mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba kupitia kipaji, badala yake ni neno moja na tunapaswa kujifunza kupitia kwake.Inawezekana watakaotakiwa kujifunza zaidi ni wale wanaochipukia, wale wanaomuamini na ikiwezekana wale wanaotamani kuwa kama yeye.Kwa...
KLABU ya Barcelona ipo kwenye mpango wa kumuuza kiungo wao Ivan Rakitic kwa dau la pauni milioni 17 msimu huu huku Atletio Madrid ikiwa mstari wa mbele kuinasa saini ya nyota huyo.Kiungo huyo mwenye miaka 32 anapigiwa pia hesabu...
MAMBO ni yente kila kona ya nchi kwa lugha ya vijana wa kisasa kufuatia kushika kasi kwa promosheni namba moja kwa sasa Tanzania, nazungumzia bahati nasibu ya chomoka na gari mpya aina ya Toyota FunCargo inayoendeshwa na Magazeti Bora...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS