MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wanaomuita mzee hawashangai kwani wanampa nguvu ya kupambana kufunga akiwa uwanjani.Kagere kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa Machi 17 kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona alikuwa na mabao 19 akiwa ni kinara...
RONALDINHO de Assis Moreira nyota wa zamani wa timu ya Brazil anaamini kuwa kati ya Cr 7 na Messi bora Messi.Nyota huyo alikuwa na mchango mkubwa kwa Lionel Messi kuingia kikosi cha kwanza ndani ya Barcelona.Messi alibeba majukumu ya Ronaldinho...
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya ajiunge ndani ya Yanga ni ushindani wa namba uliokuwa ndani ya kikosi cha Azam FC.Mnata alisajiliwa na Yanga ambapo alikuwa anakipiga Mbao FC kwa mkopo akitokea...
NYOTA wa timu ya Tanzania Prisons, Salum Kimenya amesema kuwa kwa sasa wanapitia kipindi kigumu kutokana na kutopata uhuru wa kufanya mazoezi kama ilivyokuwa awali lakini wanapaswa wafanye hivyo kwa kuwa hakuna nnamna nyingine.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama...
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hesabu zake ni kuona timu yake inamaliza ikiwa nafasi ya pili jambo ambalo anaamini linaweza kufanikiwa kwa kuwa wachezaji walikuwa wameanza kuingia kwenye mfumo.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa...
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa beki wa Simba Yusuph Mlipili anatakiwa kuongeza juhudi ili kupata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza.Mlipili ndani ya Simba msimu huu hajawa na nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kutokana...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, nafasi ya kushinda ndinga ni yako
KOCHA wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa kama kweli klabu hiyo inataka kumrejesha mshambuliaji wao wa zamani, Heritier Makambo, anayekipiga Horoya ya Guinea kwa sasa, wafanye hivyo haraka ila wawe na uhakika wa kumlipa mshahara mzuri.Zahera ambaye...
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kuliwa wa Polisi Tanzania amesema kuwa ana uwezo wa kucheza popote ndani ya Bongo na nje pia.Polisi Tanzania ipo nafasi ya sita ikiwa imecheza mechi 29 ina pointi 45 imefunga mabao 29 na safu...