HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kustaafu kucheza mpira kutokana na uwezo wake alionao ndani ya uwanja.Niyonzima amesema kuwa bado anajua anahitajika ndani ya uwanja kwani uwezo na ujuzi unadumu."Kwa sasa sina...
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI IJUMAA
UNAPOZUNGUMZIA wasanii waliofanya kolabo nyingi ndani na nje ya Bongo, huwezi kuliweka pembeni jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ukipenda unaweza kumuita Jide.Mwanamke huyu wa shoka kutokana na uwezo wake, kapita mishale mingi ndani ya muziki wa Bongo...
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa Simba walikuwa wana uhuru wa kuzungumza naye ili kumpa dili kwa kuwa yeye ni mchezaji mzuri na anajua uwezo wake alionao habahatishi.Kiungo huyo mwenye mabao matatu alikuwa anawindwa na wapinzani wa...
MUZIKI kama zilivyo biashara nyingine, unalipa. Kwa hapa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye anayetajwa kuwa na utajiri mkubwa japo vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa wapo wasanii wenye uwezo kifedha zaidi yake lakini kimsingi Kibongobongo bado imekuwa ni vigumu sana kupata data halisi za utajiri,...
DIMITRI Payet, staa anayekipiga ndani ya Klabu ya Marseille ni balaa kwenye kutengeneza pasi za mwisho. Tangu msimu wa 2007/08 Payet amekuwa noma ndani ya Ligue1 kutokana na rekodi zake za asisti. Winga huyu ndani ya Ligue 1 amezichezea klabu tofauti...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa, nafasi ya kushinda ndinga ni yako sasa
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anasubiri simu ya mabosi wa Yanga ili amalizane nao kwenye suala la kumwaga wino.Tshishimbi mkataba wake ndani ya Yanga umebakisha miezi minne na kumekuwa na msuguano wa muda juu ya...
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima kwa wachezaji na mashabiki kufuata kanuni za afya ili kujilinda na Virusi vya Corona.Dunia nzima kwa sasa inapambana na maambukizi ya janga la Corona jambo ambalo limefanya ligi...
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC kwa sasa anakipiga anakinoa kikosi cha KFC cha Uganda amesema kuwa hali bado haijawa shwari kutokana na Virusi vya Corona.Mayanja kwa mwezi Februari alitwaa tuzo ya Kocha Bora ambapo alisema kuwa ilitokana...