Home Blog Page 2789
Na Saleh AllyNILIFIKA nyumbani kwa mwanasiasa maarufu Rostam Aziz baada ya kualikwa kama mkongwe wa masuala ya habari za michezo nchini.Nilifika pale kwa lengo la kusikiliza kilichokuwa kikizungumzwa na hasa baada ya kuthibitishiwa, suala litakalozungumziwa litakuwa ni la michezo.Michezo...
Mlinzi wa kulia wa klabu ya Paris Saint-Germain, Dani Alves ametangaza kuihama klabu hiyo majira haya ya jotoKupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Alves mwenye umri wa miaka 36 amesema kuwa anaweza kuanza maisha mapya msimu wa 2019/20 ingawa...
MSIMU ujao wa Ligi Kuu Bara macho na masikio yote yatakuwa kwa washambuliaji, Juma Balinya aliyesaini mkataba wa miaka miwili na Mnyarwanda, Meddie Kagere aliyekuwa mfungaji bora wa msimu uliopita.Lakini rekodi za Wachezaji hao wawili zinambeba zaidi Balinya ambaye...
Beki Abdallah Shaibu Ninja akifunguka juu ya mkataba wake na Yanga na akimweleze Meddie Kagere alivyosumbua zaidi msimu uliopita.
Kocha Msaidizi wa DR Congo akitaja sababu ya timu yake kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Uganda katika Kombe la Mataifa ya Afrika.
Mwanamuziki anaefanya vizuri na ngoma ”Thats For Me”  Vanessa Mdee leo Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye instastory  amethibitisha rasmi kuachana na aliekua mpezi wake ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Juma Jux.Vanessa amethibitisha ilo baada ya kutoa nafasi...
KELVIN Yondani juzi alivyoingia tu Instagram alishangaa kuona posti kibao kwenye kurasa za mashabiki wa Yanga zikionyesha beki Ally Ahmed Ally akisaini kuichezea timu hiyo, hapohapo akaguna na kusema “Kwa beki hii? Tafuteni kwa kupitia.”Yanga mpaka sasa imesaini mabeki...

ROSTAM AWA MFALME YANGA

0
ROSTAM Aziz ni kama mfalme kwa sasa Yanga hii ni baada ya mastaa wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ na Sekilojo Chambua kuupongeza ushauri alioutoa kwa klabu hiyo.Juzi Alhamisi, Rostam alijitokeza hadharani na kuweka wazi mikakati yake...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS