Watanzania wanajadili ni kipi cha kufanya juu ya mmoja wa wachezaji ndondi wake mashuhuri baada ya kukatiza mpambano nchini Australia katika raundi ya pili bila kukuonyesha juhudi zozote.Ilikuwa ni raundiya tatu kuwahi kuchezwa na Selemani Bangaiza katika ndondi za...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva Afande Sele amesema timu za Simba na Yanga zinatakiwa kujitathimini kutokana na uwanja wa timu ya Gwambina ya wilayani Misungwi Mwanza.
OBREY Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji nane ambao hawatokuwa nao msimu ujao, kuona hivyo jamaa akajiwahi na jana kasaini mkataba wa...
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo JUNI 22, 2019. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.Yasome zaidi kwa kubofya haya maandishi ya rangi nyekundu hapa chiniMAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, JUNI...
Mlinda mlango wa zamani wa Timu ya Taifa ya Czech, Peter Cech amerejea tena katika viunga vya jiji la London karibu kabisa na daraja la Stanford kuendeleza makali yake katika soka lakini wakati huu akiwa mshauri wa...
TREZEGUET AKIWA NA SALAHWenyeji wa michuano ya Afcon, Misri wameanza michuano hiyo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimbabwe.Mechi hiyo ya ufunguzi wa michuano ya Afcon kwenye Uwanja wa Taifa jijini Cairo, Misri walikwenda mapumziko wakiwa na bao...
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi
Baada ya kupata saini ya Mbrazil Wilker Henrique da Silva, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa wanazifikiria klabu kubwa kama Waydad Cassablanca, TP Mazembe na Esperance ambazo wanastahili kushindana nazo na si Yanga.Hii ni kwa...
Nyimbo maalum aliyoimbiwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, na mashabiki wa Yanga kufuatia kitendo chake cha kuomba klabu yake ipewe uwanja.
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu...