Home Uncategorized NI VITA!! USAJILI MWINGINE UTAKAOSIMAMISHA NCHI SIMBA HUU HAPA – VIDEO

NI VITA!! USAJILI MWINGINE UTAKAOSIMAMISHA NCHI SIMBA HUU HAPA – VIDEO


Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.

Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Bara.

Simba hadi sasa imewasajili wachezaji wawili ambao ni Beno Kakolanya aliyekuwa Yanga na Kennedy Juma wa Singida United.

SOMA NA HII  MAMBO NI MAGUMU SASA NDANI YA SIMBA, MBELIGIJI ATOA LA MOYONI