Home Blog Page 2800
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, juu ya taarifa za timu yao kudaiwa kumtaka Juma Balinya.
BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye alikuwa akitakiwa na Simba sasa siri ya usajili huo imefichuka.Wakala wa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, Patick Gakumba, ambaye...
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi.Balinya aliyekuwa akiwaniwa na Simba juzi Jumamosi alitambulishwa Yanga baada ya kumalizana na mabosi wa...
UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles Ilanfia miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyo.KMC imewaongezea mkataba wake nyota wake wawili, Hassan Kabunda pamoja na Charles Hassan...
Idd Seleman 'Nado',amesajiliwa na Azam FC kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea  Mbeya City.Nado amesaini mkataba huo mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' na Mratibu wa timu, Phillip Alando.Nado akiwa Mbeya City alitupia kambani...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa umekamilisha mchakato wa usajili wa wachezaji wake kwa asilimia 90 kutokana na maagizo ya kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti wa Yanga, Dk. Mshindo Msolla amesema kuwa usajili wote walioufanya umetegema ripoti ya kocha hivyo...
STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.Aiyee alitakiwa kusafiri Juni 15, kwenda nchini Sweden kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio katika moja kati ya timu inayoshiriki ligi kuu ya huko...
Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miakaMiwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.MOJA:Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda lufanya vema msimu uliopita akiibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara. Hivyo Simba wameona makali yake bado wanatahitaji.MBILI:Simba...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu,  kukaa mahabusu kwa siku saba hadi Jumatatu ijayo, Juni 24, wakati akisubiri uamuzi wa mahakama kumfutia dhamana...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS