Home Blog Page 2806
KAMA mipango ikienda sawa huenda nyota wa Simba, Adam Salamba akatua Afrika Kusini kukipiga klabu ya Polokwane FC.Dili hilo limekuja baada ya dili la mshambuliaji John Bocco kuingia doa kwa kile kilichoelezwa kwamba Polokwane FC walimsainisha mchezaji kimakosa hivyo...
Kuna uwezekano mkubwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga kwa msimu uliomalizika hivi karibuni, Ibrahim Ajibu akatangazwa kusajiliwa na Simba.Taarifa zinasema kuwa Ajibu tayari ameshamalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili na atakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo...
Baada ya aliyekuwa kipa wa Yanga, Beno Kakolanya kumwaga wino wa miaka miwili jana na wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imeelezwa kuna wengine tayari wameshamalizana na miamaba hao wa Ligi Kuu Bara.Taarifa zinasema tayari kuna wachezaji watano ambao tayari...
SAMUEL Etoo mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon,Barcelona, Chelsea na Inter Milan amesema kuwa Stars ina nafasi ya kufanya maajabu endapo wachezaji watajituma."Nimeshangazwa kuskia kwamba Tanzania inashiriki michuano ya Afcon baada ya kupita miaka mingi kushiriki...
Wakati niko shule msingi nilikuwa najaradia madaftari yangu kwa magazeti ya michezo. Nilikuwa mteja mkubwa sana wa magazeti haya. Nilipenda kuyasoma, nilikuwa nafanya kila niwezalo ili nipate pesa ya kununua magazeti haya ili nisome tu.Hii ndiyo ilikuwa moja...
Michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri sio ya kitoto kwani bingwa wa michuano hiyo analamba mkwanja mrefu.Tanzania inapeperusha Bendera kwenye michuano hii ikiwa kundi C ambalo lina timu nyingine ambazo ni Senegal, Kenya na Algeria...
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa unaendelea na mchakato wa kumtafuta Kocha Mkuu atakayebeba mikoba ya Etienne Ndayiragije aliyetimkia Azam FC.Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kwa sasa michakato inaendelea ambapo tayari wameshawafanyia...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Kala Jeremiah amesema kuwa kwa sasa anapambana kujitoa kwenye dhambi moja ya kuzini kwa kujipatia jiko lake hivi karibuni.Kala Jeremiah kwenye ngoma yake ya 'Dear God' ambayo ilimtambulisha vema alisema kwamba "Nisamehe dhambi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS