FUNDI ni fundi tu. Ettiene Ndayiragije amesaini Azam Fc na jana ametambulishwa rasmi akilamba kiasi cha Sh 180 milioni.Ndayiragije alionyesha uwezo wake na Mbao badae akaibukia KMC na sasa Azam imemtangaza jana kuwa kocha wao mpya wa kuchukua nafasi...
Kuanzia leo hadi michuano itakapomalizika ya kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2019, Inayofanyika nchini Misri, Logo ya Kandanda katika tovuti na kurasa zake za mitandao ya kijamii , Facebook, Instagram, Whatsapp na Twitter itakuwa na jezi...
Ndugu zangu, mtoto wangu mwingine Aliasgher Tarimba Abbas, amefariki muda huu.Maziko kesho saa 12.30 katika Msikiti wa Shia Ithnaasheri mjiniKaribuni tumsindikize mtoto wetu.Na Tarimba Abbas
Imeelezwa kuwa klabu za Azam na Yanga zimeanza kuwania saini ya mchezaji bora wa ligi kuu Zanzibar msimu 2018/19, Abdulswamad Kassim kutoka klabu ya Malindi.Tetesi hizi zimeibuka huku wawili hao wanashiriki Ligi Kuu Bara wakiwa na nia ya kuboresha...
ALMAZ DERESE (21), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari nchini Ethiopia amefanya mitihani (Kiingereza, Amharic na Hisabati) akiwa hospitali dakika 30 baada ya kujifungua, Juni 10 mwaka huu.Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), Almaz alitegemea kufanya mitihani...
KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesitisha usajili wa wachezaji wa kigeni na nafasi zilizobaki atachukua wa fainali za Afrika nchini Misri.Yanga hadi hivi sasa tayari wamekamilisha usajili wa wachezaji wa kigeni nane ambao ni Lamine Moro, Patrick...
Imeripotiwa kuwa miamba wa Afrika Kusini Kaizer Chiefs wapo kwenye mipango ya kumsajili kiungo wa Simba James Kotei ambaye ni raia wa Ghana.Kwa mujibu wa mtandao wa Ghana Soccernet umesema Kaizer Chiefs wameonesha kuvutiwa na Mghana huyo anayecheza nafasi...
SIMBA imebadili gia angani baada ya kuachana na uamuzi wao wa kuwapiga chini Haruna Niyonzima, Emanuel Okwi na James Kotei.Habari za ndani zinasema kwamba Kocha Patrick Aussems ambaye kwa sasa yupo kwao akila bata, alipendekeza waachwe wachezaji sita wa...
Kama tulivyoripoti hapo awali kuhusu safari ya Etienne Ndayiragije kutoka KMC kwenda Azam Fc, hatimaye leo imetimia.Kocha huyo aliyewahi kufanya vizuri na Vital’o ya Burundi, na pia kuiwezesha KMC kumaliza nafasi ya nne na kupata nafasi ya...